Baba yangu anamtaka mchumba wangu!

[FONT=arial
narrow]Mi napendekeza uende kwa yule mwingine si
ulisema unao wawili? huyo mmoja muachie baba
yako.
[/FONT]

dah! hapo ndipo pagumu halafu unadhani itakuwaje?
Nalog off
 
kwa maelezo ya Baba ni kwamba hajawahi kuongea naye kuhusu lolote lile ila mimi ndiye ninayetaka kumuuliza huyu mchumba wangu kama hajawahi kuongea na baba yangu kuhusu kitu chochote kile?
Nalog off
Ebu kamuulize kwanza huyo mchumba wako afu ndo urudi ku logoff
 
Hadithi zingine bwana, sijui ni kwa ajili ya kunogesha jukwaa?
 
Wewe si uoe tu mzee atachapa ukiwa safarini kwani ubaya uko wapi ukoo si uleule au wewe ni mtoto wa nje?
 
Mmmh hyo mzee wako na ww wote mapunguan, anaona unalngana nae mpk akushrkshe upuuz wake.
 
Halafu we Washawasha huishi vituko, haya twambie huyo mchumba wenu mtamuoa wewe na baba yako?
 
Last edited by a moderator:

kuna mchumba na chumba....huyo ni chumba maalim swala lako lisubiri mahakama ya kadhi mkadhi na ukishidwa kwa kadhi mfawidhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…