Baba yangu amenishangaza sana

Toka enz hzo ccm ndo chama tawala chadema/ukawa hakiwezi kuendesha nchi watanzania tusidanganyike na kufata mkumbo.
 
Kilimanjaro kuchagua UKAWA ni la kushangaza?
Lowassa anaungwa mkono asilimia 80 kwa mikoa Manyara,Kilimanjaro na Arusha...

Angekuwa baba yako yuko Sumbawanga au Geita hapo ningeshangaa

Baadhi ya watz hata waelimike kiasi gani bado akili zao zina 'stuck'. Ina maana kilimanjaro hakuna chama kingine isipokuwa chadema?! Hata wewe hoja nyepesi ya ukanda inakukokota kiasi hiki!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…