eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,401
- Thread starter
-
- #41
Unashangaa nini wakati baba yako anatokea hukohuko UMOJA WA KASKAZINI WALIOPOTEA (UKAWA)
Yesuu kilimnjaro yote hakunapahali panaitwa ushirombo aisee huku kwetu ni rombo,mkuu,tarakea mashati ushirombo nikwawasuma umedanganya arawa
Nahisi wewe uwezo wako wa kufikiri ni mdogo. Yaani usitimize wajibu wako kwa mzazi sababu ya Siasa eti umzungushe sbb ya siasa na sasa utatuma hela sbb ni mwana Ukawa. Ujinga huo.
Kilimanjaro kuchagua UKAWA ni la kushangaza?
Lowassa anaungwa mkono asilimia 80 kwa mikoa Manyara,Kilimanjaro na Arusha...
Angekuwa baba yako yuko Sumbawanga au Geita hapo ningeshangaa
Leo saa 2asubuhi nilipokea sms kutoka kijijini ushiri rombo mkoani Kilimanjaro na ilitoka kwa baba yangu iliandikwa hivi mwanangu nina shida na 50000 naomba unisaidie nina shida nayo ya dharura halafu akaniwekea angalizo 2015 october chagua ukawa na lowasa nimeshangaza sana kwa kua aliwahi kua balozi wa nyumba kumi kupitia ccm hiyo ndio ilikua sms yake kwanza nilipoona anataka hela nilipanga kumzungusha mpaka jumatano ijayo ila aliposema chagua ukawa na lowasa nilimpigia simu kwa kua nilifikiri kakosea kuandika ila nitamtumia mapema sasa
Ya kutunga hiyo. Hakuna kijiji kama hicho kilimanjaro.
Iweke hapa namba yake ya simu,mimi nimpe hela. Najua Lowassa atanilipa.
sumbawanga ipi unayoisema hapa ? hebu muulize pinda .Kilimanjaro kuchagua UKAWA ni la kushangaza?
Lowassa anaungwa mkono asilimia 80 kwa mikoa Manyara,Kilimanjaro na Arusha...
Angekuwa baba yako yuko Sumbawanga au Geita hapo ningeshangaa
both side
mpe hongera baba kwa kukubali mabadiliko
Yesuu kilimnjaro yote hakunapahali panaitwa ushirombo aisee huku kwetu ni rombo,mkuu,tarakea mashati ushirombo nikwawasuma umedanganya arawa
yeah,kweli mkuuKilimanjaro kuchagua UKAWA ni la kushangaza?
Lowassa anaungwa mkono asilimia 80 kwa mikoa Manyara,Kilimanjaro na Arusha...
Angekuwa baba yako yuko Sumbawanga au Geita hapo ningeshangaa
Ukitukana tu pasipo kutafakali hii post yake unaweza kujishangaa baadae. 1: Baba kafulia kutokana na maisha bora feki kwa kila mtanzania ( CCM ). 2: Kijana ameamua kumtumia baba fedha mapema kwasababu anajua sasa baba na mwana wapo katika safari ya matumaini (UKAWA). Watanzania kwa sasa wanaimani zaidi na Lowassa / UKAWA kuliko hata Raisi aliyepo. Watu wana tamani JK / CCM itoke hata kesho asubuhi.We mpumbavu ulipanga kumzungusha babayako ambae amefulia ila ulivyosikia amehamia ukawa ndo ukamuona wa muhimu...kweli wewe nyumbu
Always thoughtful comments. You are a voice of reason and I salute you sir.Kilimanjaro kuchagua UKAWA ni la kushangaza?
Lowassa anaungwa mkono asilimia 80 kwa mikoa Manyara,Kilimanjaro na Arusha...
Angekuwa baba yako yuko Sumbawanga au Geita hapo ningeshangaa