Arie power
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 2,552
- 1,021
Leo saa 2asubuhi nilipokea sms kutoka kijijini ushiri rombo mkoani Kilimanjaro na ilitoka kwa baba yangu iliandikwa hivi mwanangu nina shida na 50000 naomba unisaidie nina shida nayo ya dharura halafu akaniwekea angalizo 2015 october chagua ukawa na lowasa nimeshangaza sana kwa kua aliwahi kua balozi wa nyumba kumi kupitia ccm hiyo ndio ilikua sms yake kwanza nilipoona anataka hela nilipanga kumzungusha mpaka jumatano ijayo ila aliposema chagua ukawa na lowasa nilimpigia simu kwa kua nilifikiri kakosea kuandika ila nitamtumia mapema sasa
Mtumie haraka sana baba yetu alafu ni pm no yake na Mimi nimuongezee.
Nitamalizana nae mwenyew kwa kua amenifurahisha sana
mtajua hayo baada ya kubadilisha mfumo...
kwani unanjaaa?Khaa!! Hii haishibishi kabisa..
Khaa!! Ni mabadiliko au genge la watu wanaotaka madaraka bila hata kujua watatutumikiaje??
Ccm kitu kinachowatafuna ni unafiq kwa namna unavyomponda Baba yake na kumtukana hadharani ungetakiwa hata uogope kumqote.Leo Andrew umejaa!
Leo saa 2asubuhi nilipokea sms kutoka kijijini ushiri rombo mkoani Kilimanjaro na ilitoka kwa baba yangu iliandikwa hivi mwanangu nina shida na 50000 naomba unisaidie nina shida nayo ya dharura halafu akaniwekea angalizo 2015 october chagua ukawa na lowasa nimeshangaza sana kwa kua aliwahi kua balozi wa nyumba kumi kupitia ccm hiyo ndio ilikua sms yake kwanza nilipoona anataka hela nilipanga kumzungusha mpaka jumatano ijayo ila aliposema chagua ukawa na lowasa nilimpigia simu kwa kua nilifikiri kakosea kuandika ila nitamtumia mapema sasa
Sasa mbunge wa sumbawanga unajua anatoka chama gani?Kilimanjaro kuchagua UKAWA ni la kushangaza?
Lowassa anaungwa mkono asilimia 80 kwa mikoa Manyara,Kilimanjaro na Arusha...
Angekuwa baba yako yuko Sumbawanga au Geita hapo ningeshangaa
Hata mimi nimeshangaa Meku lakini alivyosema Ushiri nikajua labda ni kakitongoji huko Rombo ila Ushirombo ipo Geita.Yesuu kilimnjaro yote hakunapahali panaitwa ushirombo aisee huku kwetu ni rombo,mkuu,tarakea mashati ushirombo nikwawasuma umedanganya arawa
Nahisi wewe uwezo wako wa kufikiri ni mdogo. Yaani usitimize wajibu wako kwa mzazi sababu ya Siasa eti umzungushe sbb ya siasa na sasa utatuma hela sbb ni mwana Ukawa. Ujinga huo.Leo saa 2asubuhi nilipokea sms kutoka kijijini ushiri rombo mkoani Kilimanjaro na ilitoka kwa baba yangu iliandikwa hivi mwanangu nina shida na 50000 naomba unisaidie nina shida nayo ya dharura halafu akaniwekea angalizo 2015 october chagua ukawa na lowasa nimeshangaza sana kwa kua aliwahi kua balozi wa nyumba kumi kupitia ccm hiyo ndio ilikua sms yake kwanza nilipoona anataka hela nilipanga kumzungusha mpaka jumatano ijayo ila aliposema chagua ukawa na lowasa nilimpigia simu kwa kua nilifikiri kakosea kuandika ila nitamtumia mapema sasa
Kilimanjaro kuchagua UKAWA ni la kushangaza?
Lowassa anaungwa mkono asilimia 80 kwa mikoa Manyara,Kilimanjaro na Arusha...
Angekuwa baba yako yuko Sumbawanga au Geita hapo ningeshangaa
Leo saa 2asubuhi nilipokea sms kutoka kijijini ushiri rombo mkoani Kilimanjaro na ilitoka kwa baba yangu iliandikwa hivi mwanangu nina shida na 50000 naomba unisaidie nina shida nayo ya dharura halafu akaniwekea angalizo 2015 october chagua ukawa na lowasa nimeshangaza sana kwa kua aliwahi kua balozi wa nyumba kumi kupitia ccm hiyo ndio ilikua sms yake kwanza nilipoona anataka hela nilipanga kumzungusha mpaka jumatano ijayo ila aliposema chagua ukawa na lowasa nilimpigia simu kwa kua nilifikiri kakosea kuandika ila nitamtumia mapema sasa
Iweke hapa namba yake ya simu,mimi nimpe hela. Najua Lowassa atanilipa.
Usisahau, wale walipatikana kwa chadema ile, si hii ya lowasa.Sasa mbunge wa sumbawanga unajua anatoka chama gani?
Geita ni ngome ya CHADEMA Bro angalia wenyeviti wa mitaa ni CHADEMA tupu.