mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
Nimejifunza mengi sana kwa experience ile ya maisha,namshukuru Mungu kama mwanaume/kijana ninayejiamini na kujitambua..........nina familia [ndoa rasmi mwaka huu],elimu,kazi na kikubwa upendo na heshima si kwamke wangu tu bali pia kwa wanawake wote....nawapa pole wanawake wote wanaopitia magumu yasababishwayo na sisi wanaume......wazidi kumuomba Mungu wao nakuwa wavumilivu.......haya ni mapito tu,twautafuta mji udumuo!!
WANAUME TUBADILIKE TUACHE UNYANYASAJI WA NAMNA YEYOTE ILE.
Hakuna mwanaume duniani anayechalaza mke wake bila sababu ya msingi
Baba yako ana haki ya kutoa maelezo yake halafu ndio tuanze ku comment
Muraaa! Ebu nibatie li kazi la kulala nje!!wewe ni Afande Marwa,Chacha AMA mwita, nahici kama umeacha lindo hivi, msalimie Mjeda chaichungu
Hakuna mwanaume duniani anayechalaza mke wake bila sababu ya msingi
Baba yako ana haki ya kutoa maelezo yake halafu ndio tuanze ku comment
Hakuna mwanaume duniani anayechalaza mke wake bila sababu ya msingi
Baba yako ana haki ya kutoa maelezo yake halafu ndio tuanze ku comment
Unaheri wewe ambaye hukucopy kwa baba maana watoto wengine huathiriwa na tabia za baba zao na kudhani kuwa mwanamke ni wakunyanyasa tu .
Kwa kweli wababa wabadirike, waache ukatiri kwa wamama na watoto!