Dahafrazeril
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 1,500
- 2,056
Sabalkheri wanaJamii Forums!
Namnukuu Baba wa Taifa hili, Ndugu Julius K Nyerere katika moja ya hotuba zake aliposema "Sungura alimuuliza siafu, unakwenda wapi?, Siafu akamjibu nakwenda kumuua tembo.Sungura kwa mshangao akasema lakini tembo mkubwa sana utamuweza?.Siafu akajibu tutajaribu tena tena tena na tena".
Maudhui ya kisa hiki unaendana na dhana ya Kujikomboa.Ukombozi wa fikra hautoshi siku moja.Polepole tutafika.
Tafakari.