Baba wa taifa kakasirika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Baba wa taifa kakasirika

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dio, Jul 28, 2011.

 1. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #1
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ndugu wana jf habari za siku hii ya leo,kulingana na kichwa cha habari hapo juu napenda kuwashauri wabunge pamoja na spika na hata viongozi wa nchi hii,kutokana na mambo mbalimbali ya aibu yanayoendelea ndani ya bunge na hata nje ya bunge,mimi kwa mtazamo wangu ni kuwa BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS K NYERERE AMEKASIRIKA
  kwahyo kwa ushauri wangu kuepuka kwa mambo mengne mengi na makubwa katika nchi hii na hususani ndani ya bunge,WABUNGE WOTE WANAPASWA WA KAHIJI KATIKA KABURI LA BABA WA TAIFA.
  Hii ndio itakuwa dawa ya kuweka utulivu ndani ya bunge.
  Nawasilisha
   
 2. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #2
  Jul 28, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Na

  huo Mzimu wa Mwl.Nyerere acha uwasurubu hao viongozi wetu wakiambiwa wana kuwa ni wabishi na kusingizi ati kuna AMANI na HAKI, we ulishawai ona wapi HAKI aitendeki alafu viongozi wana sisitiza ati kuna amani jamani bila HAKI - AMANI haipo
   
 3. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #3
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  <br />
  <br />
  kweli kabisa bila Haki,AMANI haipo.
   
 4. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #4
  Jul 28, 2011
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  Hili ndilo bunge na wafanyacho sasa ndio kabisaa democrasia. Mwaka 1967 bunge la Tanzania lilikuwa na sura hiyo hiyo kuwa na wabunge wenye usongo wa kutetea nchi. Nakumbuka sana maneno makali ya Mbunge wa Kyela wakati huyo Mzee Mwakitwange na mzee kasanga walikuwa wakali sana kuhusu tanzania kuvunja kiingereza mashuleni na kuiga siasa za ujamaa. maneno yao kama yakinukkuliwa leo utadhania walikuwa manabii.Serikali inapata uwoga kama ikisikia kuna wabunge wakali namna hiyo na katu haitafanya kama ilivyofanya katika richmond. maana kuna wabunge mbogo. Ona yaliyomkuta msabaha, kalamagi, chenge,Lowasa na sasa David jairo. Haya yote ni faida ya kuwa na wabunge mbogo. Hakuna mahali katika vitabu vitakatifu palipoandika kuwa watanzania mtaishi kwa yale yote asemayo nyerere na mnaweza kupata laana ya mzimu wake. Tusitishane bila sababu.
   
 5. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #5
  Jul 28, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Bunge linaendeshwa kimabavu, wananchi tumeisha washiitukia hayo!
   
 6. mwana wa mtu

  mwana wa mtu JF-Expert Member

  #6
  Jul 28, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 220
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Suala si KUHIJI tu,ila ni KUBADILIKA KIMATENDO, wawe kwa ajli ya maslahi ya Tanzania na Watanzania. Kuna maana gani kuhiji halafu unarudi kuendeleza madudu!
   
Loading...