Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
[h=1]COPIED MAHALI
"BABA WA MTOTO ANAHITAJIKA[/h]Habari Dada Mange,
Samahani sana kwa kukusumbua najua una mambo mengi kufanya maendeleo. Nilipata matatizo makubwa sana dada yangu na niliposikia umekuja dar es salaam nilikutafuta kwenye whatsapp lakini hukujibu kabisa lakini sijakata tama bado nina amini Mungu yupo pamoja nami na nasukumwa kuandika hili ombi katika blog yako.
Nitarudi tena kutoa mrejesho na kuwatia moyo wanawake wote ambao wako katika wakati mgumu na wamekata tama kama ilivyokuwa kwangu. Ombi langu kwako ni kunisaidia kuweka tangazo hili kwenye blog yako ila tu naomba usiweke jina langu ila naomba majibu yeyote wanaweza kuwasiliana na wewe au hata ukaweka email address yangu. Nitakutumia details zangu zote kama utahitaji na hili sio utani na naomba kama kuna marekebisho katika title au uandishi wa huu ujumbe unisaidie.
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Email: lutrijo@gmail.com
BABA WA MTOTO ANAHITAJIKA
Nina ujauzito na nimeshafika 3 trimester ikimpendeza Mungu December natarajia kujifungua. Maombi yangu ni kwa mwanaume yeyote anayehitaji kuwa baba wa mtoto wangu. Kutokana na matatizo mengi yaliyonipata mtoto wangu atakosa baba na maisha yangu yote nimelelewa na baba na mama, natambua umuhimu wa kuwa na baba. Sio wanaume wote wamejaliwa kupata mtoto wa wapo wengi wangetamani siku moja kuwa na mtoto ambaye atakuwa wake binafsi na wa kwanza kumpokea siku ya kuzaliwa,kumtunza na kumpa jina lake. Nafasi ipo wazi kwa yeyote ambaye atakuwa tayari kuwa baba na mimi kuwa mama wa huyu malaika mtarajiwa. Ikibidi hata kuandikishiana kwa mwanasheria kwa uhakika zaidi atakapo hitaji. Itakuwa siri yangu na ya baba mtarajiwa.
Afya yangu na mtoto mtarajiwa ni njema kabisa na tunaweza kwenda kuhakikisha hospital atakapo hitaji. Nafasi hii haitawahusu mwanaume anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja na aliyeko katika ndoa maana nina heshimu sana taasisi ya ndoa."
Kama wewe ni mwanaume ila uwezo wa kuzaa Mungu hakukujalia yupo mtu anahitaji baba wa kuadopt mtoto. So changamka.