Baba wa marehemu Ramadhani Juma anena jinsi polisi wanavyomsumbua.

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507
Baba mzazi wa marehemu Ramadhani Juma aliyeuawa katika ugaidi huo, Juma Ramadhani, alisema kuwa anashangazwa kuona jopo la askari wapelelezi wakifika nyumbani kwake Mianzini na kumtaka kukubali kutoa mwili wa mtoto wake bila uchunguzi ili usafirishwe kwenda kwao Tabora kwa mazishi.

"Hawa watu nashangaa wanadai kuna magari yapo manne kuwa nitapelekwa nyumbani, lakini nimekataa kwa sababu wanadai nisikubali Chadema kuhusika katika msiba huu, mimi sikubaliani nao kwa kuwa Mbowe alinisaidia mwanzo wa tukio hadi mwisho alipofariki mikononi mwake," alisema.

Alisema hawezi kumwacha Mbowe kwa kuwa ni msimamizi wake katika hatua zote.

Hata hivyo, Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabas, jana hakupatikana kuzungumzia madai hayo.

Kila alipopigiwa simu ya mkononi hakuipokea
SOURCE:NIPASHE

MY VIEW: HATA MALAIKA(WATOTO) WAMESEMA KUUNGA MKONO KAULI YA MBOWE KUHSU POLISI KUUWA WATU
 
“Hawa watu nashangaa wanadai kuna magari yapo manne kuwa nitapelekwa nyumbani, lakini nimekataa kwa sababu wanadai nisikubali Chadema kuhusika katika msiba huu, mimi sikubaliani nao kwa kuwa Mbowe alinisaidia mwanzo wa tukio hadi mwisho alipofariki mikononi mwake,” alisema.

Alisema hawezi kumwacha Mbowe kwa kuwa ni msimamizi wake katika hatua zote.

Hata hivyo, Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabas, jana hakupatikana kuzungumzia madai hayo.

Kila alipopigiwa simu ya mkononi hakuipokea
SOURCE:NIPASHE

MY VIEW: HATA MALAIKA(WATOTO) WAMESEMA KUUNGA MKONO KAULI YA MBOWE KUHSU POLISI KUUWA WATU

Inasikitisha sana taarifa hii yaani wauaji waje na kukushawishi kuwa watakusaidia kusafirisha mwili wa mwanao mpendwa baada ya kukamilisha mauaji yao, Ee Mungu uwazindue Polisi waachane na CCM
 
Kwa nini wanang'ang'ania kuwazika wakati Wazazi wao hawataki??
 
Hivi hawa polisi hawaishi uraiani? machalii wa ar si muanze kuwakamua mmoja mmoja night mazee!! Ikwiriri si waliweza, sasa hivi shwariiiii!
Kweli mkuu tupe hata majumbani kwa wale walio Soweto sasa hivi tutasafiri kuwafanyizia kudadeki!! Ka mbwai mbwai bhana alaaaa!!!!
 
Baba mzazi wa marehemu Ramadhani Juma aliyeuawa katika ugaidi huo, Juma Ramadhani, alisema kuwa anashangazwa kuona jopo la askari wapelelezi wakifika nyumbani kwake Mianzini na kumtaka kukubali kutoa mwili wa mtoto wake bila uchunguzi ili usafirishwe kwenda kwao Tabora kwa mazishi.

"Hawa watu nashangaa wanadai kuna magari yapo manne kuwa nitapelekwa nyumbani, lakini nimekataa kwa sababu wanadai nisikubali Chadema kuhusika katika msiba huu, mimi sikubaliani nao kwa kuwa Mbowe alinisaidia mwanzo wa tukio hadi mwisho alipofariki mikononi mwake," alisema.

Alisema hawezi kumwacha Mbowe kwa kuwa ni msimamizi wake katika hatua zote.

Hata hivyo, Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabas, jana hakupatikana kuzungumzia madai hayo.

Kila alipopigiwa simu ya mkononi hakuipokea
SOURCE:NIPASHE

MY VIEW: HATA MALAIKA(WATOTO) WAMESEMA KUUNGA MKONO KAULI YA MBOWE KUHSU POLISI KUUWA WATU

Wanahaha kuficha ushahidi wa risasi;
 
ccm wanajidanganya kwamba kila kitu wanaweza kufanya kwa pesa, hata kununua uthamani wa mtu. Wasijidanganye sana maana muda umeshafika watu kuelewa mbivu na mbichi.
 
Wakuu,

Me huwa nashangaa sana viongozi wetu wa serikali wao huwa katika haya matukio wao huwa kwanza kwenda kuzika huku nyuma hwatupi majibu ya uchunguzi wa mwili wa marehemu? wao ni kukimbia na kuzika.

Hili liko wazi tokea bomu la mkono kuleta majanga watu wengine ndio wako mstari wa mbele kuwaokoa wenzao Police wao wanarusha risasi hii ni akili walio fundishwa kweli kule moshi is that the way to handle such incidence kweli?

Crime scene yenyewe ilvyokuwa ikiendeshwa utacheka mala askali wanafanya kuchunguza hapo uwanjani mara wamekaa mara wametoka wameenda sijui wapi tutajuaje kama mwatoa ushahidi eneo la tukio walipswa kuwepo pale pale all days mpaka wamalize wao ni kuletewa kyai na vitu vingine.

Leo hii mwaenda shawishi mfiwa kumsidia kuzika me ningewaambia kama ni shida ni CHADEMA hata mimi naweeza mzika mwanangu mwenyewe pia
 
Nasikia yule mtoto alitolewa na Mwanachi na kukiri alipigwa risasi na polisi kanyakuliwa na watu wa usalama wamempeleka kusikojulikana.Mara baada ya habari zake kutoka kwenye gazeti la Mwananchi baadhi ya vyombo vingine vya habari vilimiminika kwania ya kutaka kumhoji zaidi polisi wakaamua kuweka kambi na kuzuia raia yoyote asimkaribie.
 
Serikali ina fedha za kugharamia misiba ya watu waliowaua, kulipa polisi na kununua magari na silaha kwa ajili ya kuua raia na kupambana na vyama vya siasa na wale wenye mawazo na mtizamo tofauti na watawala LAKINI serikali hiyo hiyo kila siku inadai haina uwezo wa kununua madawa kwa ajili ya hospitali na zahanati zake, haina fedha kwa ajili ya kulipa waalimu na watumishi wake kwa wakati unaotakiwa, kwa ujumla haina fedha kabisa kwa ajili ya kuboresha huduma za msingi kama elimu, afya, maji na mengineyo.

Hizi hadaa, uongo, dhuluma, uonevu, dharau na kiburi cha watawala na serikali kwa wananchi zitaendelea hivi mpaka lini. Ni kwa nini hawatambui kuwa madaraka na nafasi walizo nazo sio kwa ajili ya kujitumikia wao na familia zao na sisi wananchi tuendelee kuwatumikia na kuwatunza kwa kodi tunazolipa kila uchao.
 
Hivi hawa polisi hawaishi uraiani? machalii wa ar si muanze kuwakamua mmoja mmoja night mazee!! Ikwiriri si waliweza, sasa hivi shwariiiii!

naunga mkono hoja hii, tena inatakiwa wakiwa wanawapiga mabomu nyie mnajigawa wengine wanahamia kwenye familia zao na kuwachoma moto ili nao uchungu uwaingie.
 
Back
Top Bottom