Baba Wa Kishua

Hahaaa!!hapa hata kama mtoto ni nunda lazima unyooke tu!!mfano hii uifanyie dodoma mtoto akakushitaki kwa rpc mroto!!utiwe mikononi mwa mzee wa msifa !!hadi CNN,BBC,ALJAZEERA wataitwa kwenye hiyo press conference!!!na human right watch!!
 
Huyu mtoto lazima apate alama ya A kwenye mitihani yote! [emoji38]
 
Hawezi kusoma akaelewa kwa namna hiyo, mie zamani ilikuwa nikisimamiwa kufanya jambo labda kupika au kuosha vyombo lazima nifanye chini ya kiwango au niharibu kabisa
 
Hii ni ya baba labda ulikuwa unasimamiwa na matha.
 
Mkuu kwetu hatuna matha, labda kama ulimaanisha mother, baba alikuwa ananisimamia kazi kama kufagia au kudeki hasa weekend , unajua nilikuwa mvivu wa kazi halafu mama alikuwa ana act kanishwindwa na kunichongea
 
Hahaha! 😀
 
Hawezi kusoma akaelewa kwa namna hiyo, mie zamani ilikuwa nikisimamiwa kufanya jambo labda kupika au kuosha vyombo lazima nifanye chini ya kiwango au niharibu kabisa
Ukinisimamia ndiyo naharibu kabisa wewe nipe maelekezo tu uone kazi nitakavyoifanya
 
Hawezi kusoma akaelewa kwa namna hiyo, mie zamani ilikuwa nikisimamiwa kufanya jambo labda kupika au kuosha vyombo lazima nifanye chini ya kiwango au niharibu kabisa
Siamini mpaka nione chakula ulichopika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…