realMamy JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 7,827 Reaction score 20,054 Nov 19, 2026 Thread starter #61 ShesRise_1 said: Karibu tena jukwaani mama Click to expand... Thanks baby. Nilipamiss vibaya mno
ShesRise_1 JF-Expert Member Joined Aug 21, 2025 Posts 23,269 Reaction score 53,325 Nov 19, 2026 #62 realMamy said: Thanks baby. Nilipamiss vibaya mno Click to expand... Enjoy π
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 53,495 Reaction score 42,600 Nov 19, 2026 #63 realMamy said: Mbona huonekana wema machoni pa watu π π π Click to expand... uovu mwingi hujificha kwenye wema ndugu mdau. anaekupiga tukio hawezi kuonekana anatisha hata kidogo, lazima akuonyeshe upole wa mchongo na innocent sana ili akupige tukio vizuri π
realMamy said: Mbona huonekana wema machoni pa watu π π π Click to expand... uovu mwingi hujificha kwenye wema ndugu mdau. anaekupiga tukio hawezi kuonekana anatisha hata kidogo, lazima akuonyeshe upole wa mchongo na innocent sana ili akupige tukio vizuri π
Infropreneur JF-Expert Member Joined Aug 15, 2022 Posts 14,979 Reaction score 32,744 Nov 19, 2026 #64 realMamy said: Wewe Infropreneur Muogope Mungu Click to expand... Mungu huyo angekuwepo wala asingetakiwa kuogopwa. Mungu hayupo, ndio maana watu wanasema aogopwe. Kwa sababu watu wanatishana tu, ili waamini kitu ambacho hakipo.
realMamy said: Wewe Infropreneur Muogope Mungu Click to expand... Mungu huyo angekuwepo wala asingetakiwa kuogopwa. Mungu hayupo, ndio maana watu wanasema aogopwe. Kwa sababu watu wanatishana tu, ili waamini kitu ambacho hakipo.
realMamy JF-Expert Member Joined Apr 28, 2024 Posts 7,827 Reaction score 20,054 Nov 19, 2026 Thread starter #65 Infropreneur said: Mungu huyo angekuwepo wala asingetakiwa kuogopwa. Mungu hayupo, ndio maana watu wanasema aogopwe. Kwa sababu watu wanatishana tu, ili waamini kitu ambacho hakipo. Click to expand... Aiseee Mimi naogopa
Infropreneur said: Mungu huyo angekuwepo wala asingetakiwa kuogopwa. Mungu hayupo, ndio maana watu wanasema aogopwe. Kwa sababu watu wanatishana tu, ili waamini kitu ambacho hakipo. Click to expand... Aiseee Mimi naogopa
Infropreneur JF-Expert Member Joined Aug 15, 2022 Posts 14,979 Reaction score 32,744 Nov 19, 2026 #66 realMamy said: Aiseee Mimi naogopa Click to expand... Ni kwa vile umetishwa na kuaminishwa kwamba unapaswa kumuogopa huyo Mungu. Lakini kiuhalisia Mungu huyo hayupo. Ni vitisho vya kutisha watu tu. Ni kama vile tukiwa watoto unatishiwa eti, ukimeza mbegu ya tunda, mti utaota tumboni na kutokezea mdomoni. Au kuna kipindi watu walikuwa wanatishana habari za Popobawa.
realMamy said: Aiseee Mimi naogopa Click to expand... Ni kwa vile umetishwa na kuaminishwa kwamba unapaswa kumuogopa huyo Mungu. Lakini kiuhalisia Mungu huyo hayupo. Ni vitisho vya kutisha watu tu. Ni kama vile tukiwa watoto unatishiwa eti, ukimeza mbegu ya tunda, mti utaota tumboni na kutokezea mdomoni. Au kuna kipindi watu walikuwa wanatishana habari za Popobawa.