ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,984
- 61,199
Mi nategemea kupata first born wangu mwezi April mungu asaidie ila sitosahau kile kipindi kuanzia mimba ina week hadi miezi 3 ilikua balaa
Mi bby mama wangu mtarajiwa aliumwa alikua hawezi kula wala kufanya chochote sikua na mpango wa kuanza kuishi naye ila ilinibidi sa hivi anarndelea vizuri ila sex ndo hataki kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema sio kwa kila mtu kwangu mimi ilikua tofauti ( i have a kid, She is 7month now[emoji3062]) yan sijawahi tapika, wala kuwa na dalili kama za watu wengine aiseeee[emoji18][emoji18]
Wale ambao tunategemea kupata watoto mwaka huu tukutane hapa tujuzane mambo ya kuzingatia.Mimi ni mmojawapo ambae mwaka huu Mungu akijalia kwenye mwezi wa nane mwezi niliozaliwa mimi basi nitapata ka firstborn inshaalaah.
Mwezi wa 12 mwishoni nilimtafuta wa kucheza naye kitandani hatimaye matunda yametick week hiihii. Nilikuwa nafikiri
Mi bby mama wangu mtarajiwa aliumwa alikua hawezi kula wala kufanya chochote sikua na mpango wa kuanza kuishi naye ila ilinibidi sa hivi anarndelea vizuri ila sex ndo hataki kabisa
Tumezaliwa mwezi mmoja mwanangu ila mimi tarehe 14,, mimi mwenzio wa tatu mwishoni hapo nategemea zawadi. Namshuhuru Mungu namsubiri kwa hamu maana kaja na neema zake.Wale ambao tunategemea kupata watoto mwaka huu tukutane hapa tujuzane mambo ya kuzingatia.Mimi ni mmojawapo ambae mwaka huu Mungu akijalia kwenye mwezi wa nane mwezi niliozaliwa mimi basi nitapata ka firstborn inshaalaah.
Mwezi wa 12 mwishoni nilimtafuta wa kucheza naye kitandani hatimaye matunda yametick week hiihii. Nilikuwa nafikiri pombe kali nilizowahi kunywa labda zingeathiri ubora wa mbegu zangu lakini kumbe sio kweli kwa vijana, of course nilipata sana mawazo ni kama sikuwa tayari ila nikakalishwa chini nikapangwa nitulie mtoto bado hata hajaanza kunywa uji
Bwana ushapata sema linginemi nategemea kuzaa kwanzia October/nobember/December
Sina mimba sina Bwana ila Insha allah
[emoji23]hahahahaaaBwana ushapata sema lingine