Baba vanga: mwanamke aliyetabiri, Trump, ISIS, Obama yuko on point

Kusema itabiri , itabiri bila kuweka uthibitisho wa alitabiri lini na wapi ni utapeli mwningne huu. Alitabiri wapi obama atakuwa rais na alikengeuka aliposema atakuwa rais wa mwisho.mbona yupo trump? Huu uongo kabla hujapost pitia kwanza au maybe ulitafsiriwa vibaya maana si kwa kukosea huku
 
Kwanini asitokee mtabiri wa lini CCM itaondoka madarakani ili tusifanye siasa maana Hawa watu wanatuumiza bure, Bora tuwaachie watawale ikifka wakati akili zetu zikikataa utumwa tufanye mapinduzi
Kuendelea kuwaza kitu kinachokukela ni sawa na kuukimbiza upepo.
badili mtizamo wako pendelea kupenda vitakavyokupa raha CCM tuachie wana CCM
 
Vitu vingine havihitaji ujuaji sana utajikuta umeharibu.Huwezi kutoa tabiri za mwisho wa dunia wakati hujui DUNIA ni jina la mwanadamu lakini MUNGU ana jina lake pia analolijua YEYE.Kama uharibifu unatoka kwao basi na utabiri huo utaishia kwao....... Nostradamus pia alitabiri mpaka wakati wa Trump aliyemwita Trampet japo alitabiri mpaka Hitler lakini watu wasifuate sana na kuamini hayo kuliko MUNGU ANAVYOTUWAZIA...... Wanachora picha ya kutisha halafu ukiwauliza wanajibu ndio sisi hao..... ptyuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom