Baba v

Baba v

Yegoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2012
Posts
1,434
Reaction score
511
Habarini wanaCC,kwa taarifa fupi nilizopata kutoka gerezani(BANN) Mwenyekiti wetu Baba V ameamishiwa gereza la KASUNGAMILE kule wilayani Sengerema,na lile gereza linasifika kwa KULIMA SANA!!2muombee chairman wetu jamani!!
 
Last edited by a moderator:
Tunampa siku tatu asipoonekana tutaitisha uchaguzi huru na wa haki
 
Tunampa siku tatu asipoonekana tutaitisha uchaguzi huru na wa haki

unadhani Kasungamile atatoka leo! Kwani nasikia amebambikiziwa na kesi! Ya Unyang'anyaji&Uporaji!!,tatizo anajiingiza kwenye siasa za Jf na Pesa hana!!
 
Habarini wanaCC,kwa taarifa fupi nilizopata kutoka gerezani(BANN) Mwenyekiti wetu Baba V ameamishiwa gereza la KASUNGAMILE kule wilayani Sengerema,na lile gereza linasifika kwa KULIMA SANA!!2muombee chairman wetu jamani!!

Kwa kweli Baba V huko siasani anakorandaranda kutakuja kumfunga kifungo cha maisha....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom