Baba mzazi

Baba mzazi

NDEO

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2011
Posts
813
Reaction score
189
Kweli dunia imefika mwisho,hivi Kweli baba mzazi unaweza kumlala mchumba wa Mtoto wako Yani mkwe wako, Wakati wewe binafsi unajua umeathirika?
 
huyo m'baba ndo amefundishwa anataka akifa aondoke na familiya yake yote, fanyeni uchunguzi yawezekana hata watoto wake wa kike keshapitia au mtoto naye kapitia kwa mama yake, kwani akili ya kawaida ni ngumu kutokea au kachunguzeni kwa undani maisha ya hiyo familiya yawezekana kuna makubwa ambayo huyajui.
 
Kweli dunia imefika mwisho,hivi Kweli baba mzazi unaweza kumlala mchumba wa Mtoto wako Yani mkwe wako, Wakati wewe binafsi unajua umeathirika?

Pole mkuu kwa yaliyokukuta!
 
Mungu atunusuru na vizazi vyetu, lakini sikuizi hata mwanawe mtu ana mgeukia seuze mkwe........
 
Mkuu wewe ndo umegongewa ama? Sasa hapa alyengongewa akitembeza tindikali kwa baba na demu kuna watu watamlaumu?
 
Mbona hushangai huyo mwanamke kumfunulia baba ya mpenzi wako.
 
lazima aliwe, mimi mwenyewe nimemla jana usiku mwanangu amesafiri, mke wake akajirengesha nimemla tena kochini....nimemwambia na leo amekubali baada ya hapo naamia kwa mdogo wake ambaye ni mzuri kuliko huyu mke wa mwanangu....mimi ndo baba mtukutu, utaniambia nn wewe!
 
Kwa dunia ya sasa mtu kula "Kuku wa Dawa" wala haishangazi'kwa maana kila kitu tunajihalalishia tu!
 
Kweli dunia imefika mwisho,hivi Kweli baba mzazi unaweza kumlala mchumba wa Mtoto wako Yani mkwe wako, Wakati wewe binafsi unajua umeathirika?



Pole sana!!! km imekukuta vile!! km si ww baci jirani yako, pole sana ndg, ndo hivyo tena wazee wa siku hiz hawana haya
 
Kweli dunia imefika mwisho,hivi Kweli baba mzazi unaweza kumlala mchumba wa Mtoto wako Yani mkwe wako, Wakati wewe binafsi unajua umeathirika?
hata mama wakwe wanatoa siku hizi wala hawazi hata kidogo....sorry kwa kutojibu swali lako.
 
Back
Top Bottom