Baba mwenye nyumba wangu kafanya mapenzi na msaidizi wangu wa ndani(House Girl)

Huo wivu sasa
 
Atakuwa kapiga na mke wako ndo anamsifia sio beki tatu tu.
 
Mimi sijaona tatizo lolote hapo; huyo beki 3 wako una mpango wa kumuoa wewe? Kuna shida gani kama amepata mwanaume? HAijalishi awe baba mwenye nyumba au mwanae au mtoto wako wewe au yeyote yule. Labda kama kuna mtu anaweza nieleza tatizo hasa la huyu baba mwenye nyumaba ni nini hapo? Ukweli mi sijaelewa kosa lake hasa ni nini?
 
Mda si mrefu atampakua mkeo afu atakupiga na tatu bariiiid

muhogo,nazi,karanga tende,asali
 
Ulikuwa unataka baba mwenye nyumba afanye na ww ety?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe nenda kagegede sasa
Utachagua yupi kati ya mkeo au hg


Mwezrahi
 
ohoooooooo, inaonesha ni mume mwenzio kwa huyo back 3
 
Anaumia labda na yeye huwa anapita na beki tatu wake


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aisee kakudharau kinoma hapo nisawa kakula bi mdogo wa nyumba alafu anakuadisia.
 
naona amespecialize kwenye kitengo cha kugegeda na kugegedewa yeye na familia ya father house wake
Ni mtunzi tu hadithi wala sio kweli yooote anayoandika kwenye thread zake. hahahahhahaaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…