Kama ulivyoshauriwa, chunguza kwanza. Kama anafanya kazi na anafukuzia cheo pia wengi huenda kwa waganga, biashara hivyohivyoNiliambiwa kua uyaone basi mim mwenzenu nimeyaona, naandika huku natetemeka sikuwahi waza kama baba mtoto wangu anaweza kua mshilikina kupindukia.
Ni kijana mmoja very smart, mstaarabu wa sura ila roho yake nimeshangaa sana, nahisi alieniletea izi habari anaweza kua muongo.
Ntakuja na Uzi kamili bado najarbu kudigest habari, nimepigwa na butwaa kubwa.
I think I'm loosing my mind!
Inaonesha una matatizoNiliambiwa kua uyaone basi mim mwenzenu nimeyaona, naandika huku natetemeka sikuwahi waza kama baba mtoto wangu anaweza kua mshilikina kupindukia.
Ni kijana mmoja very smart, mstaarabu wa sura ila roho yake nimeshangaa sana, nahisi alieniletea izi habari anaweza kua muongo.
Ntakuja na Uzi kamili bado najarbu kudigest habari, nimepigwa na butwaa kubwa.
I think I'm loosing my mind!
KweliInaonesha una matatizo
Si mtu tu aniambie I love you
Si mtu tu aniambie I love you walau moyo utimke vumbi...www.jamiiforums.com
Amepatwa na mshangaoFiche aibu ya mmeo
Tatizo ni athari, kumchukulia mtu inaweza isiwe tatizo, changamoto ni anaweza kufanya kitu gani kitakachoathiri familia yakeNobody is perfect! Lichukulie hilo kama changamoto itakayokupima hekima na ukomavu wa kusolve issues ndani ya familia
Mchunguze vizuri aliyekuletea hizo taarifaNiliambiwa kua uyaone basi mim mwenzenu nimeyaona, naandika huku natetemeka sikuwahi waza kama baba mtoto wangu anaweza kua mshilikina kupindukia.