suzie _barbie
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 1,523
- 3,092
Usiseme hivyo.Mawasiliano si kitu cha kumpangia mtu ili mradi kuna heshima.Ajue mipaka yake ameshakua na familia nyingine tayari
Ww kaa lea mume wako mpe huba lote tofauti na hivo unatafuta Kuachwa .Habari za mchana ndugu zangu.
Naishi na mzazi mwenzangu na alishakuwa na watoto kabla ya kukutana na mimi...
Ni hivi, juzi alimpost mtoto nisiyemjua status kumuuliza ni mtoto wa nani akaniambia ni mdogo wa mtoto wake aliyezaa na mwanamke mwingine, yani mtoto wa mdogo wa mzazi mwenzake
Ikabidi niulize kwanini ampost mbona mtoto wangu huwa hampost hata birthday hakumuwish?....
Watoto wake wawili nawafahamu na sina shida juu ya watoto wake shida ni kwanini mtoto wa shemeji yake?
Hivi ni sahihi kwa yeye kuendelea kuwa na ukaribu na ndugu wa mzazi mwenzake while tayari mimi naishi naye?
Kuna vitu vingine vinaonekana ni vidogo ila vinaimpact kubwa badaye.
Ni kazi sana kuwa na mahusiano na mwanamke au mwanaume aliyezaa kabla na wasiojua mipaka yao.
Mfano.
Uoe mwanamke umemkuta na mtoto tayari. Akawa na ukaribu sana na ndugu wa baba mtoto kutembeleana nakupostiana hivyo.
Itakuwa sawa kwa upande wako?
Jamani [emoji23][emoji23][emoji23]Sina haja ya kujibu, maana nitakuwa mgonjwa kuoa mwanamke mwenye mtoto
Faida ya kuwa masikini ni kuingia peponiView attachment 2585282
Mimi naomba niambiwe faida ya kuoa au kuolewa na mtu ambaye tayari ana watoto.
Msipokuwa makini mtafika mbinguni mkiwa hoi
Ndio faida za kudoji.Kikao kiliazimia hadi uone kaburi 😁
Jamani [emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe azimio linaplay kwa both single fathers and mothers,goodnessKikao kiliazimia hadi uone kaburi [emoji16]
Huyo mwenzetu aliyeolewa na mwanaume mwenye watoto ni mgonjwa. Ni wa kuonewa hurumaSina haja ya kujibu, maana nitakuwa mgonjwa kuoa mwanamke mwenye mtoto
Huyo mwenzetu aliyeolewa na mwanaume mwenye watoto ni mgonjwa. Ni wa kuonewa huruma