Baba mtoto kaninunia

Amenuna hata hanisemeshi
 
Hizo ni minor case,ukue sasa
Mtu wa hivyo ni kumpuuzia
Kwenye maisha huwezi kukutana na mteremko kila siku,hizo ndo changamoto zenyewe,kama unapenda mitandao post na wewe wa kwako
Inawezekana akawa wake pia
 

Nyie watu mna shida:

1. Anaishi na wewe kwa hiyari yake, ina maana kakuchagua wewe.
2. Mna watoto, hiyo ina maana hao watoto wako unaowataka status ni wake pia, kwa hiyo ajafanya ubaguzi

Mbona ni kama unafuatiliya mambo ya kijinga?
 


Hii ni kweli

"Ni kazi sana kuwa na mahusiano na mwanamke au mwanaume aliyezaa kabla na wasiojua mipaka yao"

Labda kuna mtu alikulazimisha? Maana huwa mkiambiwa hamsikiagi kabisa.
 
Nyie watu mna shida:

1. Anaishi na wewe kwa hiyari yake, ina maana kakuchagua wewe.
2. Mna watoto, hiyo ina maana hao watoto wako unaowataka status ni wake pia, kwa hiyo ajafanya ubaguzi

Mbona ni kama unafuatiliya mambo ya kijinga?
Mfano.
Uoe mwanamke umemkuta na mtoto tayari. Akawa na ukaribu sana na ndugu wa baba mtoto kutembeleana nakupostiana hivyo.
Itakuwa sawa kwa upande wako?
 
Wewe na mwanaume wako bado mna akili za kitoto, washamba wa mapenzi na bado hamja komaa kwenye mambo ya mahusiano.
Namaanisha kwamba, wewe na huyo mvulana bado hamjaanza kuishi maisha yenu halisi na mnazuzuliwa na mitandao ya kijamii ili kuionesha dunia ione na kisha iwapangie maisha yenu.
 
Wewe na huyo mvulana unae ishi nae, wote hamjui mipaka yenu
 
Kwa style hii sidhani kama mahusiano yenu yatafika mbali with good future
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…