Baba mtoto kaninunia

Ndo matatzo ya mwanamke mwenye mtoto kuolewa na mwanaume mwenye mtoto yan ni mattzo tu
Why km unajua umezaa usitafte mtu ambae hajazaa apo mtaishi ila hii yenu hii kla sku itakua ugomvi

Lkn pia wanaume huwa tunatabia za kipumbavu sana wakat mwingne ingelikua ni mwanamke ndo kamposti uyo mtoto ugomvi wake ungekua niwadunia ingne ila kwakua ni mwanaume kafanya ivyo bas anajiona yuko sawa na ni haki yake kufanya ivyo uwo ni ujinga

Tuacheni uanaume usio na maana
 
Ni ulimbukeni kwakweli....
 
Ajue mipaka yake ameshakua na familia nyingine tayari
Kiufupi tu, anachokifanya huyo jamaa yako si sawa. Haipendezi.
Na kama anakupenda haswa asingethubutu kufanya hivyo, na huyo mtoto sio wa shemeji yake, ni wa kwake mwenyewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…