Kataa kuanza 1 bilaNi kazi sana kuwa na mahusiano na mwanamke au mwanaume aliyezaa kabla na wasiojua mipaka yao
Mapenzi ndugu oohoo ukipenda boga penda na ua lake.Mimi naomba niambiwe faida ya kuoa au kuolewa na mtu ambaye tayari ana watoto.
Msipokuwa makini mtafika mbinguni mkiwa hoi
Bora leo mmeongea nyie Ke. Huwa tunasema kila siku, watu waliozaa waoane wenyewe kwa wenyewe ndio wqnawezanq na drama zao.Habari za mchana ndugu zangu.
Naishi na mzazi mwenzangu na alishakuwa na watoto kabla ya kukutana na mimi...
Ni hivi, juzi alimpost mtoto nisiyemjua status kumuuliza ni mtoto wa nani akaniambia ni mdogo wa mtoto wake aliyezaa na mwanamke mwingine, yani mtoto wa mdogo wa mzazi mwenzake
Ikabidi niulize kwanini ampost mbona mtoto wangu huwa hampost hata birthday hakumuwish?....
Watoto wake wawili nawafahamu na sina shida juu ya watoto wake shida ni kwanini mtoto wa shemeji yake?
Hivi ni sahihi kwa yeye kuendelea kuwa na ukaribu na ndugu wa mzazi mwenzake while tayari mimi naishi naye?
Kuna vitu vingine vinaonekana ni vidogo ila vinaimpact kubwa badaye.
Ni kazi sana kuwa na mahusiano na mwanamke au mwanaume aliyezaa kabla na wasiojua mipaka yao.
Bas apambane na gunia lake la misumariMapenzi ndugu oohoo ukipenda boga penda na ua lake.
Ni unachukua risk tu.
Mkuu, hakuna faida ni ma drama tu. Unajua mtoto asiye wako hata ukimfinya kwa lengo zuri la kumrekebisha kunakua na mawili. Moja wewe mwenyewe ujishtukie kwamba mzazi wake atanionaje au mzazi wake akuchulie kuwa humpendi mwanae.View attachment 2585282
Mimi naomba niambiwe faida ya kuoa au kuolewa na mtu ambaye tayari ana watoto.
Msipokuwa makini mtafika mbinguni mkiwa hoi
Uzi ufungwe. Umemaliza kila kitu. Shida huwa hawaelewiKataa kuanza 1 bila
Siyo mtoto wake ni mtoto wa shemeji yake kwa mzazi mwenzakeAssume tu kuwa huyo ni mwanae na umkubali kama ulivowakubali hao wawili...maana hata ukisema utembee mbele tayar utakua single mother na hapo ndo moto utakuwakia toka kwa wajuba wa JF.!!!!...kamati ya "USIOE SINGO MAZA &KATAA NDOA" inakuja,get prepared!
Pole BwekeKabisa aisee,ishakula kwangu
Tena wanaume ndo hataki hata kuulizwa chochote tunaenda tu huku tumefumba machoBora leo mmeongea nyie Ke. Huwa tunasema kila siku, watu waliozaa waoane wenyewe kwa wenyewe ndio wqnawezanq na drama zao.
Uzi huu unathibitisha kuwa sio single mother wala single dady wote chungu kimoja.
Pole sana binti, ndio hali ya dunia
Shida siyo status,shida ukaribu baina ya yeye na ndugu wa mzazi mwenzake ni sawa kuendelea kuwa na mawasiliano nao na wakati tayari mimi na yeye tunafamilia?Utoto raha sana, status tu zinakutoa roho? Si ummute tu usione kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app