Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Oct 25, 2014 #2 Kumbe vigodolo bado vipo!:A S wink:
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,372 Reaction score 111,695 Oct 25, 2014 #3 hii itakuwa kunako kashikashi za fiesta...
NAPITA JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 5,077 Reaction score 2,250 Oct 25, 2014 #4 watu kama hawa hawafai kabisa
K kigoda JF-Expert Member Joined Oct 15, 2012 Posts 1,781 Reaction score 361 Oct 25, 2014 #5 Mwana ccm huyu.
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,506 Reaction score 123,821 Oct 25, 2014 #6 Ukiona mama ni hivyo ujuwe baba ni zaidi ya hivyo.
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Oct 25, 2014 #7 [video]yamoto band niseme[/video]
Amavubi JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 30,154 Reaction score 13,267 Oct 25, 2014 #8 FaizaFoxy said: Ukiona mama ni hivyo ujuwe baba ni zaidi ya hivyo. Click to expand... sipati picha hiyo familia
FaizaFoxy said: Ukiona mama ni hivyo ujuwe baba ni zaidi ya hivyo. Click to expand... sipati picha hiyo familia
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,459 Reaction score 872,093 Oct 25, 2014 Thread starter #9 FaizaFoxy said: Ukiona mama ni hivyo ujuwe baba ni zaidi ya hivyo. Click to expand... Baba konda mama mcheza shoo
FaizaFoxy said: Ukiona mama ni hivyo ujuwe baba ni zaidi ya hivyo. Click to expand... Baba konda mama mcheza shoo
M makubazi JF-Expert Member Joined Feb 15, 2013 Posts 2,047 Reaction score 365 Oct 25, 2014 #10 Kwa mi wala sijaona tatizo hiyo ndo tamaduni zetu za asili na mcheza kwao hutunzwa
D davycom Senior Member Joined Mar 18, 2009 Posts 101 Reaction score 27 Oct 26, 2014 #11 Alafu mtoto asipopata vema darasani wanalalamika
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,048 Reaction score 13,495 Oct 26, 2014 #12 Fiesta hiyo