Baba Mkwe wangu amemkatalia Mtoto wake kupanga nyumba ya marehemu mama

sie nyumba yetu sala sala mzee alishafariki,na mama kishafariki lakini ote 4 tumesema hatupangishi wala kuiuza,na ote hatukai hapo sababu tunaamini si kwetu bali ni kwa wazazi wetu na itabakia hvyo hvyo kama kumbu kumbu tu ya wazee wetu
HAMNA AKILI...!! Dunia ya leo unaacha nyumba kama pango hata wazazi wenu hamuwatendei haki..
 
Hao watoto washukuru walipata mama mwenye akili, lakini baba wamekula hasara.
mzee mbon yuko poa tu watoto ndo wajinga, mfano ingekuwa mama ndo kaachiwa nyumba na mzee ambayo alirithi kwa baba yake mmewe hao watoto wangefanya huo upuuzi.
 
Back
Top Bottom