Baada ya mke kupokea kipigo kikali toka kwa mumewe,
akakimbilia police post.
MKE: Mume wangu anauza madawa ya kulevya,
alivyoona nimemgundua kanipiga sana.....
POLISI WAKAMFUATA MUME WAKAMUARESTI NA KUANZA KUMPA KIPIGO CHA MBWA MWIZI AELEZE WAPI
ALIPOFICHA MADAWA. HATIMAE JAMAA AKAKUBALI KUSEMA;
MUME: Wacha niseme
ukweli, mimi nilitumwa tu na bosi wetu, na mzigo anao yeye.
POLISI: Bosi wako ni nani
MUME: Bosi wetu ni baba mkwe wangu