Baba mdogo wa Rais wa korea kusini avuliwa uongozi wote.

Deka D

Senior Member
Feb 8, 2013
115
170
Kiongozi mwandamizi wa serikali ya kikomunisit na baba mdogo wa Rais wa korea ya kasikazini

SABABU ZA KUFUKUZWA
-kuunda kikundi cha kupinga viongozi wa kikomunist
-kupokea pesa (rushwa) kutoka kikundi kinachotaka kuipindua serikali
-kufanya biashara ya madawa ya kulevya
-kupenda wanawake sana (umalaya)

Hiyo yote ni miiko ya uongozi katika taifa la korea ya kasikazin. Lakini pia ata tanzania hayo yote yamekatazwa kwa mujibu wa katiba ya sasa.

Swali la kujiuliza je tanzania ni viongozi wangapi wametenda kama hayo na wamechukuliwa hatua gani zaidi ya kuwalinda.

Je serikali ya sasa imefanya maamuzi magumu gani dhidi ya wala rushwa.... mafisadi, wahujumu uchumi au wasaliti wa nchii? Au vyama vimefanya maamuzi gani ya kuwafuta kazi viongozi au watu kama hao?

Tulishudia CUF wakimfukuza Ahamad Rashid (mbunge) kwa kutofuata taratibu au kujiona yeye ni mtu badala ya chama.

Lakini pia tulishudia NCCR MAGEUZI ikifukuza Kafulila Davidi (mbunge) baada ya kwenda kinyume na utaratibu wa chama chake na kutaka kumpindua mwenyekiti wake.

Pia tumeshudia CHADEMA ikiwafukuza ktk uongozi baadhi ya viongozi walioenda kinyume na utaratibu wa kichama kama kabulu ambae yuko ccm, marehemu chacha wangwe, na sasa kijana mdogo kabsa zitto zuberi (mbunge) hao wote walienda kinyume na utaratibu wa kichama.

Mbali na hivyo vyama tajwa hapo juu lakin chama cha mapinduzi (ccm) kimeshindwa kabsa kuwaadhibu viongozi wake wengi wezi, walafi, mafisadi , wala rushwa, Wauwaji na wanyonyaji. Lakini zaidi hayo yote hakuna mtu ata moja aliye chukuliwa hatua. Mfano Lowassa (mbunge) ametajwa ktk report mbalmbal.. waliohusika katk mauaji kama Mwigulu (mbunge) lakin hakuna hatua zilizochukuliwa.

Wako wapi viongozi wanafanya biashara haramu ya Unga.....na wengine ni watoto vigogo na mawaziri.... lakin wapo wanaendelea na maisha kweli hii serikali ni sikivu au inawapenda. Wako wapi wauwaji na watekaji wa watetea maendelea na haki za makundi tanzania...

Tazama binaadamu anaekosa maarifa anapomuta vinadamu mwenzie gaidi bila kujua dhana ya ugaidi.....

Watanzania wengi wanatamani kuona nchi yao ikiwasaidia kuwatoa katka umasikin kwa kuwaondoa viongozi wabadhilifu ili utendaji wa serikali ufanyike kwa ufasaha....

Sasa hivi CCM ndo wanaona kuwa wamewakosea watanzania .....tunasema hapa mda wenu wakuondoka ktk madaraka umefika... mtaundanganya umma kuwa nyie ndo mnaweza lakn sio kweli tunahitaji mabadiliko katk chama au nje ya chama.

DHAMBI kubwa walioifanya wanaCCM ni kuuneza udini na ukabila, ndo vitu vitakavyo waadhibu kadili mlivyo uweneza. Mwenyezi Mungu anaona dhambi zote mnazowafanyia watanzania.

Ikumbukwe ktk dunia hii hakuna nchi au chama kilichotawala milele ata ufalme wa Roma (roma empire) uliokuwa na nguvu ktk dunia hii. Lakin leo hii uko wapi?

Leo ktk maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika Mh.Rais ametamka wazi kuwa apatheid walikuwa wabaya zaidi ya dikiteta ardof hilter lakn akasahau kuwa wote hao walikuja kuendelea kushindwa kutawala.

Ni hivyohvyo utawala wa chama tawala utaondoka tena ktk hali mbaya kuliko ata apartheid walivyoondoka. Kwa nn nasema hvyo.... leo hii mweshimiwa rais anasema tujifunze kusamehee lakn anasahau watu wanavyo tesa wapinzan kwa kuwahusisha na ugaidi kama vile apatheid na chi za ulaya walivyomtaja mandela kama gaidi wakutisha.

Tunahitaji ukombozi wa pili na wakweli na si unafiki kama kama baadhi ya watanzania wanaojiita watetea maslai ya watanganyika.

***Nchi kwanza vyama baadae***
****Chama kwanza mtu baadae****
****Rushwa ni sumu ya maendeleo***
***Usaliti ktk taifa ni sawa na kula nyama ya binaadamu (mchawi)******
 
Young Tanzanian

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
1,737
0
korea kusini si nchi ya kikomunist soma upya ulposoma korea kaskazn ndio nchi ya kijamaa acha kuandka kama unakimbia kwenda kupokea pesa za vroba knondon
 
patrickcharles

JF-Expert Member
May 22, 2013
530
500
Kiongozi mwandamizi wa serikali ya kikomunisit na baba mdogo wa Rais wa korea ya kusini.

SABABU ZA KUFUKUZWA
-kuunda kikundi cha kupinga viongozi wa kikomunist
-kupokea pesa (rushwa) kutoka kikundi kinachotaka kuipindua serikali
-kufanya biashara ya madawa ya kulevya
-kupenda wanawake sana (umalaya)

Hiyo yote ni miiko ya uongozi katika taifa la korea ya kusini. Lakini pia ata tanzania hayo yote yamekatazwa kwa mujibu wa katiba ya sasa.

Swali la kujiuliza je tanzania ni viongozi wangapi wametenda kama hayo na wamechukuliwa hatua gani zaidi ya kuwalinda.

Je serikali ya sasa imefanya maamuzi magumu gani dhidi ya wala rushwa.... mafisadi, wahujumu uchumi au wasaliti wa nchii? Au vyama vimefanya maamuzi gani ya kuwafuta kazi viongozi au watu kama hao?

Tulishudia CUF wakimfukuza Ahamad Rashid (mbunge) kwa kutofuata taratibu au kujiona yeye ni mtu badala ya chama.

Lakini pia tulishudia NCCR MAGEUZI ikifukuza Kafulila Davidi (mbunge) baada ya kwenda kinyume na utaratibu wa chama chake na kutaka kumpindua mwenyekiti wake.

Pia tumeshudia CHADEMA ikiwafukuza ktk uongozi baadhi ya viongozi walioenda kinyume na utaratibu wa kichama kama kabulu ambae yuko ccm, marehemu chacha wangwe, na sasa kijana mdogo kabsa zitto zuberi (mbunge) hao wote walienda kinyume na utaratibu wa kichama.

Mbali na hivyo vyama tajwa hapo juu lakin chama cha mapinduzi (ccm) kimeshindwa kabsa kuwaadhibu viongozi wake wengi wezi, walafi, mafisadi , wala rushwa, Wauwaji na wanyonyaji. Lakini zaidi hayo yote hakuna mtu ata moja aliye chukuliwa hatua. Mfano Lowassa (mbunge) ametajwa ktk report mbalmbal.. waliohusika katk mauaji kama Mwigulu (mbunge) lakin hakuna hatua zilizochukuliwa.

Wako wapi viongozi wanafanya biashara haramu ya Unga.....na wengine ni watoto vigogo na mawaziri.... lakin wapo wanaendelea na maisha kweli hii serikali ni sikivu au inawapenda. Wako wapi wauwaji na watekaji wa watetea maendelea na haki za makundi tanzania...

Tazama binaadamu anaekosa maarifa anapomuta vinadamu mwenzie gaidi bila kujua dhana ya ugaidi.....

Watanzania wengi wanatamani kuona nchi yao ikiwasaidia kuwatoa katka umasikin kwa kuwaondoa viongozi wabadhilifu ili utendaji wa serikali ufanyike kwa ufasaha....

Sasa hivi CCM ndo wanaona kuwa wamewakosea watanzania .....tunasema hapa mda wenu wakuondoka ktk madaraka umefika... mtaundanganya umma kuwa nyie ndo mnaweza lakn sio kweli tunahitaji mabadiliko katk chama au nje ya chama.

DHAMBI kubwa walioifanya wanaCCM ni kuuneza udini na ukabila, ndo vitu vitakavyo waadhibu kadili mlivyo uweneza. Mwenyezi Mungu anaona dhambi zote mnazowafanyia watanzania.

Ikumbukwe ktk dunia hii hakuna nchi au chama kilichotawala milele ata ufalme wa Roma (roma empire) uliokuwa na nguvu ktk dunia hii. Lakin leo hii uko wapi?

Leo ktk maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa Tanganyika Mh.Rais ametaka wazi kuwa apatheid walikuwa wabaya zaidi ya dikiteta ardof hilter lakn akasahau kuwa wote hao walikuja kuendelea kushindwa kutawala.

Ni hivyohvyo utawala wa chama tawala utaondoka tena ktk hali mbaya kuliko ata apartheid walivyoondoka. Kwa nn nasema hvyo.... leo hii mweshimiwa rais anasema tujifunze kusamehee lakn anasahau watu wanavyo tesa wapinzan kwa kuwausisha na ugaidi kama vile apatheid na chi za ulaya walivyo mtaja mandela kama gaidi wakutisha.

Tunahitaji ukombozi wa pili na wakweli na si unafiki kama kama baadhi ya watanzania wanaojiita watetea maslai ya watanganyika.

***Nchi kwanza vyama baadae***
****Chama kwanza mtu baadae****
****Rushwa ni sumu ya maendeleo***
***Usaliti ktk taifa ni sawa na kula nyama ya binaadamu (mchawi)******
Bila shaka wewe ni CDM usiyependa kuongea ukweli, sasa mlichukua hatua gani baada ya Zitto kuwaweka waz kwamba mnakwepa kukaguliwa matumiz yenu, au mliona la msing ni kumuita msaliti.?! Inishort hakuna mwenye uchungu na hii inchi hata wewe ukipewa utazikomba tu.
 
Tokyo40

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
2,065
2,000
Sio baba mdogo. Ni mume wa Shangazi yake. Huyu babu kamwoa dada wa baba Yake.
 
Young Tanzanian

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
1,737
0
Bila shaka wewe ni CDM usiyependa kuongea ukweli, sasa mlichukua hatua gani baada ya Zitto kuwaweka waz kwamba mnakwepa kukaguliwa matumiz yenu, au mliona la msing ni kumuita msaliti.?! Inishort hakuna mwenye uchungu na hii inchi hata wewe ukipewa utazikomba tu.

Ruzuku tu ambayo ni sawa na bajeti ya wzara moja wananunulia majumba dubai na kukarabati club za starehe plus kulpa vijana wa kumchafua zzk wakpewa nchi B.O.T si wataifanya shamba la bibi
 
Young Tanzanian

JF-Expert Member
Mar 10, 2012
1,737
0
Bila shaka wewe ni CDM usiyependa kuongea ukweli, sasa mlichukua hatua gani baada ya Zitto kuwaweka waz kwamba mnakwepa kukaguliwa matumiz yenu, au mliona la msing ni kumuita msaliti.?! Inishort hakuna mwenye uchungu na hii inchi hata wewe ukipewa utazikomba tu.

Mkuu hawakwenda kinyume na taratbu bali walitaka kugombea uenyekiti wa cdm saccos
 
SHERRIF ARPAIO

JF-Expert Member
Aug 25, 2010
9,579
2,000
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom