Baba mbaroni kwa kuwabaka watoto wake wawili

Baba mbaroni kwa kuwabaka watoto wake wawili

Nini maaana ya Suna??? Katumwa? Ana akili sawasawa huyo?
Jiwe la kusagia lifungwe shingoni mwake....akatupwe baharini!!!!
 
mwisho wa hukumu yake pale atawekewa kinoti maalumu kua akae chumba cha "MAMENDE" gerezani...ovyo kabisa mtu mzima ana roho ya kinyama.
 
This sexual offender & rape!!! Huyo baba must go to jail for life.
 
Mkazi mmoja wa miembe saba Wilayani Kibaha mkoani Pwani amekamatwa na polisi akituhimiwa kuwabaka watoto wake wawili wadogo kwa zaidi ya miaka miwili sasa.

Watoto hao mmoja mwenye umri wa miaka 15 anayesoma darasa la saba na mdogo wake mwenye umri wa miaka 11, aliyeanza kubakwa akiwa darasa la tatu.



CHANZO: Mwananchi

Hivi serikali inashindwa nini kuandaa hata somo kwa watoto shule za msingi waelimishwe kutoogopa kuripoti matukio haya hata kama wanatishiwa kuwa wakisema watakufa? Vitolewe vipeperushi na matangazo katika vyombo vya habari ili kuwapa ujasiri watoto ambao wanaamini kila anachosema mtu mzima ni sahihi, hasa wazazi. Mugu ndiye anayejua ni watoto wangapi wanapitia mateso haya kwa watu ambao wanaaminika katika jamii. Grrrr......
 
Whaaaat ??? Sasa ndugu zangu, inabidi wake zetu waongee na binti zao kwamba wasiwe karibu na baba zao ikiwa ni pamoja na kutowaruhusu baba zao kuwa hug au kuwa kiss au tufanyeje ? Ngumu kumesa !!!
 
Back
Top Bottom