Siku moja baba manka alidondoka kwenye kisima cha maji akapiga kelele huku anatapatapa mama manka akaja na kamba mpya akamrushia; baba manka akauliza umenunua sh. ngapi? Mama manka akamjibu, buku; akamwambia irudishe nenda kwa masawe anauza jero fanya haraka ntazamaaaaaaaa..........!!