GE2025 Baba Levo: Wanasema sijasoma siwezi kuwa mbunge , hizi hoja nazitoa wapi?

GE2025 Baba Levo: Wanasema sijasoma siwezi kuwa mbunge , hizi hoja nazitoa wapi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Nimekaa na wagombea wa nafasi za udiwani na nimewaambia siwezi kuomba barabara alafu diwani anaenda kumpa Tarura barabara laini laini,huyo diwani hawezi kunifaa kwenye jimbo langu,na wanasema sijasoma sasa hizi hoja natoa wapi?
 
Back
Top Bottom