GE2025 Baba Levo: Niacheni nikafanye uchawa lakini Kigoma ipate Maendeleo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Akizungumza wakati akizindua Kampeni za Chama cha Mapinduzi Kigoma Mjini leo Septema 9, 2025, Clayton Chipando Maarufu Baba Levo ambaye ni Mgombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini amehusisha kutajwa kuwa chawa lakini yeye atatumia nafasi hiyo endapo wananchi watamchagua kuwa Mbunge wa Jimbo hilo atawaletea maendeleo

"Nilisimama na nyie kuwatetea kwa kila hali lakini pia kuhakikisha hakuna anayewanyanyasa katika mkoa huu, acheni nikafanye uchawa nyie mpate maendeleo Kigoma" amesema Clayton Chipando (Baba Levo)

Soma pia
 
Tuwekee na picha mkuu
 
Back
Top Bottom