GE2025 Baba Levo: Naahidi vitu vichache ambavyo naweza kuvipata

GE2025 Baba Levo: Naahidi vitu vichache ambavyo naweza kuvipata

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Miongoni mwa wagombea ubunge wa CCM walinivutia na hoja zake moja wake ni huyu jamaa Babalevo licha ya uchawa lakini unaona hoja zake zinaweza kutekelezeka kabisa.
================
Mgombea ubunge jimbo la Kigoma Mjini kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi Baba Levo amesema kuwa yeye ataahidi vitu ambavyo anaweza kuvitekeleza na sio jambo la kuongea wapoga kura.

Amayesema hayo Oktoba 23, 2025 katika muendelezo wake wa kampeni katika jimbo la Kigoma Mjini

 
Back
Top Bottom