Asije kimbia watu baadaeMtangazaji wa Wasafi FM, BabaLevo aweka ahadi kama Simba wakishinda Kombe la Shirikisho Afrika, mashabiki wa klabu hiyo waende kuvunja ghorofa lake.
Credit: Wasafi FM
Hata Mimi ntaweka ahadi ya gari langu Land cruiser v8 View attachment 3320451
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hawezi Mkuu..yule ni man of promiseAsije kimbia watu baadae
Kama vipe mlivyosema hawavuki, wakavuka. Msije futa nyuzi zenu kama kawaida
Walikutana na vibondeKama vipe mlivyosema hawavuki, wakavuka. Msije futa nyuzi zenu kama kawaida
[emoji23][emoji23]Isitokee tu.
Mana ndio ataiona Levo anayojitia Baba ake ikiikuta Kichuguu chake.
😂 ambao wanashika number 4 kwenye ligi kuu, unaita vibonde, ambao wamemtoa bingwa mtetezi
Labda wamebahatisha....Je Wana historia gan[emoji23] ambao wanashika number 4 kwenye ligi kuu, unaita vibonde, ambao wamemtoa bingwa mtetezi
Haina kubahatisha kule, wamefika kwa mafanikio. Kwa hiyo kua mpole
Jiandae kuwaita Berkane Vibonde...
Yanga yatinga fainali shirikisho kwa kuhamahama sasa wapo Morocco
Je wanahistoria Gani beforeHaina kubahatisha kule, wamefika kwa mafanikio. Kwa hiyo kua mpole
Berkane ni hatari mkuu...Ile ni purely Yanga levelJiandae kuwaita Berkane Vibonde...
KivpYanga yatinga fainali shirikisho kwa kuhamahama sasa wapo Morocco
Kiuzandiki.
Hapana mkuu....Yanga ndo baba wa democracy ya soka la TZKiuzandiki.
Sijakataa mkuu mimi ni mshabiki wa simba kimataifa huko kwenye vikombe vya mbuzi hutoniona kamwe.Hapana mkuu....Yanga ndo baba wa democracy ya soka la TZ
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app