Baba,kwani asali ina miguu?!!

tabibumtaratibu

JF-Expert Member
May 29, 2011
2,405
1,181
Mtoto mmoja asubuhi amuuliza baba yake
Mtoto:baba kwani asali ina miguu?!
Baba:kwa nini mwanangu unaniuliza?
Mtoto:me nilisikia jana usiku ukisema "HONEY" tanua miguu......
Angekua mwanao ungemjibu nini?
 
Ningemwambia asiwe anasikiliza mazungumzo ya wakubwa. Maana ukimwambia ndio ina miguu atakwenda kutangaza kwa wenzake.
 
Mtoto mmoja asubuhi amuuliza baba yake
Mtoto:baba kwani asali ina miguu?!
Baba:kwa nini mwanangu unaniuliza?
Mtoto:me nilisikia jana usiku ukisema "HONEY" tanua miguu......
Angekua mwanao ungemjibu nini?
ndio balaa ya kulala na watoto ndani kwenye chumba kimoja..!
 
Nitamwambia,mamako alikuwa kaketi kitandani so nilikuwa nampa kopo la asali nikamwambia atanue miguu,aliweke kopo katikati ya miguu yake ili aile kwa starehe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom