Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,016
- 142,785
Kwa mujibu wa huu mjadala ulivyokwenda Kama kuna ukweli mwingi ndani yake.
Hebu ona anaepingana kakomalia kuwa the percentage is way too high tu na sio kuwa hamna kitu kama hicho mpa'a kakumbushwa!
No napinga data and mada yenyewe.. Sio tu kuwa nimekumbushwa, no truth and facts no right to speak, that is msimamo wangu, u can all have ur own msimamo, just because someone in contributing to this thread is misleading, doesn't mean we all accept and start off with wrong data
sikiliza binti usijifanye una mzuka sana na uchaga wenye uchaga wao tupo hapa na tunaujua uchaga na mila zetu kuliko wewe,binti wa kwanza wa kikibosho lazima atembee na baba yake hiyo ni mila na hamna ubishi hapo,binti wa mwisho wa kimachame ni lazima atambee na baba yake ni lazima na ni mila yetu hamna ubishi kama hujui chunguza,mrombo yoyote mwenye uwezo wa kifedha kama mramba ,kavishe na wengine ni lazima awe na mtoto wa kike hata wa nje na ni lazima ale nae uroda kabla hajamjua mwanaume yeyote,pale uru baba lazima ambikiri mtoto wake wa kwanza wa kike,marangu sio lazima sana ila kuna wazee wengi ambao wanatembea na wake za watoto wao.ninafahamu wachaga na mimi ni mchaga hiyo asilimia moja ni ya wale waliobahatika kupata watoto wa kiume tuu ila pia wengi watatafuta watoto wa kike hata nje ya ndoa ili tuu ale uroda na mwanae.
We Zakumi unaongea kama huna imani? kula faida ndio nini??Hata hawa wazungu tunawaonea bure kusema ni uzungu.Ni laana iliyozidi kipimo na zaidi ni wapumbavu..yes i said ni wapumbavu!!
Hatupo kuhukumiana hapa
Inaonyesha wengi wetu hapa hatupo katika position ya kupinga wala kuunga mkono hoja isipokuwa kwa maneno ya mtoto wa mkulima na wewe
Utetezi wako ndio uliowapa watu labda kuanza kuegemea kwa son of a peasant kwa kuwa umehoji idadi tu
Kwangu binafsi I don't care either way
thank uNsiande kachukizwa na kuchukizwa huko huenda kumepelekea kuchukua moja kati ya mengi yaliyosemwa na kukomalia hapo hapo. Hiyo mimi naelewa.
Lakini wewe mwenyewe hebu jiulize, hivi huna Wachaga unaowajua wewe? Kama ingekuwa widespread kama baadhi walivyoiweka hapa kwangu au pengine hata kwako isingekuwa ajabu. Mimi sijawahi sikia hii.
Na cases za incest nimeshazisikia kutoka watu wa makabila tofauti tofauti. This one here is new to me.
Nsiande kachukizwa na kuchukizwa huko huenda kumepelekea kuchukua moja kati ya mengi yaliyosemwa na kukomalia hapo hapo. Hiyo mimi naelewa.
Lakini wewe mwenyewe hebu jiulize, hivi huna Wachaga unaowajua wewe? Kama ingekuwa widespread kama baadhi walivyoiweka hapa kwangu au pengine hata kwako isingekuwa ajabu. Mimi sijawahi sikia hii.
Na cases za incest nimeshazisikia kutoka watu wa makabila tofauti tofauti. This one here is new to me.
Mabinti wa Kichaga wapo wengi humu. Hebu wajitokeze waje wakate mzizi wa fitna. Wapi Relief? Wapi JS?
Na hata kama kafanya kweli unategemea akwambie?!
Hapo sasa, iwe kiujumla au binafsi hakuna atakayekubali hili.Na hata kama kafanya kweli unategemea akwambie?!
Waje waseme wao si watoto wa kwanza au wa mwisho wa kike labda.
Duh toto la mkulima leo katuporomoshea kizaa zaa mbona! Duh
Kama hakuna atakayekubali basi yatabakia kuwa ni masimulizi tu.
Hata aje mmoja athibitishe bado itakuwa simulizi tu.
Tutamuuliza anawajua wangapi kati ya wangapi walofanya hivyo?
Tutauliza kama kweli ni mchagga pia maana hata huyo son of a peasant amedai kuwa yeye ni mmoja wao!
Hakuna ukweli unaoweza kupatikana JF kwenye hili, wacha liendelee kuwa simulizi tu
Mtu anataka 'proven data' au mtu asiongee tutazipata wapi kwa Tanzania?