BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,199
Nimekuwa nafuatilia mihemuko ya RC Makonda juu ya wazazi kubeba
uovu wa watoto wao ikiwa serikali
itakosa ushirikiano toka kwa wazazi
husika katika maswala ya ujambazi na madawa ya kulevya n.k.
Mwanzoni nilijua anazungumzia watoto waliochini ya miaka 18 (minor under Tanzanian Law) kumbe mpaka vijeba,wapiga debe/waosha magari/wazururaji n.k makundi yote hayo wazazi wapatilizwe maovu yao!
Nasikia huyu mweshimiwa hana mtoto(Mange my reliable source) hivyo hajui changamoto za watoto kuwa wanaweza wakawa malaika nyumbani lakini mtaani mbali na nyumbani wakawa mashaitwan.hata vitabu vya Mungu vinasema Baba hatabeba uovu wa mwanaye/mtoto hata beba uovu wa Babaye.
Sasa huyu mtumishi wa Mungu RC
anapata wapi ujasiri wa kupotoka kiasi hicho? ana tuabisha hata sisi waumini wenzie.Viongozi wetu wanahitaji maombi.wamepungukiwa na hekima.