nyamatongo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 716
- 986
Wote ni wapuuzi.. haiwezekani umtuhumu mtu mvuta bangi mbele ya kadamnasi, dah! Mungu aniepushe ila ntakachofanya itakua historia. Ni udharirishaji na kuharibiana.
Mbasha alimaanisha nini? na mchomvu naona kama katoa adhabu ya kiutani utani.
Mbasha alimaanisha nini? na mchomvu naona kama katoa adhabu ya kiutani utani.