makofia360
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 776
- 2,405
mm namuombea huyo msichana kuwe na pingamizi kubwa ashindwe kuolewa na huyo muislam,na huyo baba awe ma msimamo sana na hiyo ndoa isiwepo,nmemalizakijana amekuwa katika mahusiano kwa muda mrefu sasa ndoto zao ni ndoa. Tatizo lipo kwenye dini msichana yeye yupo tayari kubadili na kuwa muislam na hata mama yake msichana anamuunga mkono mwanae kwani hata yeye alibadilishwa na mumewe, tatizo baba na ni muhudumu mkubwa wa kanisa. Wapi huyu kijana anzie anahofia hata kulifikisha kwa baba mkwe wake kwa alivyo mkali na misimamo. Tumsaidieni kwa mawazo chanya nini akifanye kwani wanapendana sana, karibuni waungwana
mm namuombea huyo msichana kuwe na pingamizi kubwa ashindwe kuolewa na huyo muislam,na huyo baba awe ma msimamo sana na hiyo ndoa isiwepo,nmemaliza
acha chuki za kidini
Bora nionekane ninachuki hata vilevile nao wana chuki na mm,kama ni ww mdada nenda kaolewe huko utarudi tena hapa baada ya mwaka mmoja kuomba msaada kimbia haraka kama mwizi huyo hakufai kabisa
Hivi mtu anabadilisha dini ili aoe /aolewe
Au anabadilisha dini baada ya kuisoma, kuijua, kuielewa na kuiamini????
Usibadili dini yako wanaume ni matapeli sana utakujajuta kwa kosa hilo, anakutamani tu hakupendi. Je uko tayari kuwa na wanawake wenzio 2?Kijana amekuwa katika mahusiano kwa muda mrefu sasa ndoto zao ni ndoa.
Tatizo lipo kwenye Dini msichana yeye yupo tayari kubadili na kuwa Muislam na hata mama yake msichana anamuunga mkono mwanae kwani hata yeye alibadilishwa na mumewe, Tatizo baba na ni muhudumu mkubwa wa Kanisa.
Wapi huyu kijana anzie anahofia hata kulifikisha kwa baba mkwe wake kwa alivyo mkali na misimamo. Tumsaidieni kwa mawazo chanya nini akifanye kwani wanapendana sana.
Karibuni waungwana
nabii mweusi acha ubaguzi wa dini kwa haina nafasi katika mapenzi.
Hapo amtafute babu wa msichana
aliemruhusu mama yake kubadili dini ili kuolewa ndo atamdhibiti baba wa msichana
Hivi mtu anabadilisha dini ili aoe /aolewe
Au anabadilisha dini baada ya kuisoma, kuijua, kuielewa na kuiamini????
Hakuna mapenzi wala nn ni tapeli tu huyo kijana hujui kitu ww ndo maana unabisha wao lengo lao waongezeke ukifika huko jamaa anatafuta mwanamke mwingine na sio hivyo tu ni mengi yanakera,sasa ww dada nenda kaolewe ukapate chungu ya mapenzi,ningekuwa karibu yako ningezabua na vibao ,nyau kabisa ww,utakuwa sio ww sasa naanza kukemea hilo pepo lilililokuingia lishindwe katika jina lipitalo majina yote