Mwambie Inatumika kutengenezea mabomu.
hahahahahahahaha JOSE MOURINHO umenchekesha sana,ujue anaweza akataka anunuliwe na afundishwe kutengeneza BOM
Mwambie Inatumika kutengenezea mabomu.
Mwambie Inatumika kutengenezea mabomu.
mkuu rpg tukio hilo ni fundisho tosha na kengele tosha kuwa makini sana na kuwa karibu sana na mtoto wako kujua anaangalia nini na anachukuliaje hayo anayoyaangalia je anayafanyia kazi?anayaona ya kawaida tu au anayaona mabaya?kuna kitu anajifunza kutokana nayo?anachojifunza ni -ve au +ve kwa mwanao?televisheni ni mwalimu mkubwa sana kwa mtoto ambao na wao pia ni wepesi wa kushika mambo tena kwa haraka mno,kwa hiyo mzazi asipokuwa makini na kumwacha mtoto aangalie tv muda wowote aupendao na bila kujua nini anaagalia ajiandae kupata maswali zaidi tena ya kuaibisha na pia ajiandae kupata mtoto wa kimovie movie.
Angalizo kwa wazazi hata ikiwa uko bize kiasi gani angalau weka muda fulani wa kuwa karibu na mtoto wako kujua anaangalia nini na anachoangalia kinamjenga au kinambomoa.
Nikiwa nyumbani nikitazama TV mara likapita tangazo la condomu "Dume", mwanangu wa kiume 6 years akaniuliza, eti baba dume ni nini? Nikakaa kimya huku wageni tuliokuwa nao sitting room wakishikwa na mshangao. Nilipofikiria sana nikahisi ni haki ajue. Nikamwambia dume ni Condom!!! Watu wakaanguka kicheko. Nikafikiria maswali yake yameisha, mara oh eti inatumika kutengenezea nini? Ikabidi nipotezee.
Ungekuwa wewe ungelifanyaje?
Mwambie Inatumika kutengenezea mabomu.
blue g, asante kwa maono mazuri, huwa ninajitahidi sana kuwarestrict, nimewagroom kwa kuangalia gospel na cartoon, na nashukuru most of the time huwa wanaimba gospel wanapokuwa wanacheza. Pia nimewazoesha kuangalia taarifa ya habari. Mara nyingi ikifika saa mbili kama nipo nyumbani huwa wananiuliza baba huangalii taarifa? Sema hili lilikuja muda mfupi kabla ya taarifa.
Ninajua kids are very sensitive, hata mkitofautiana na wife wananote. Watoto ni wepesi wa kujifunza. Kwa hiyo uliyoyasema ni kweli, lazima tufuatilie mienendo ya watoto wetu kwa karibu!
siku akikwambia alimuona mama na mgeni wakitengeneza bomu, utachukuliaje?
Ninajua kids are very sensitive, hata mkitofautiana na wife wananote. Watoto ni wepesi wa kujifunza. Kwa hiyo uliyoyasema ni kweli, lazima tufuatilie mienendo ya watoto wetu kwa karibu!
Ninajua kids are very sensitive, hata mkitofautiana na wife wananote. Watoto ni wepesi wa kujifunza. !