Baba Diamond Ashinda Njaa

Mkuu usimlamu huyo Mzee, hafu WW Ni Kidume pia, huwezi kujua nini kilitokea mkuu kwenye mahusiano Yao! Vp Kama Mama alikua Tatizo, vp Kama Mama D aliwasakizia mimba Wanaume wawili?

angeenda kuchek dna ajue kama ni mwanae amhudumie na sio kukataa kumhudumia.
 
Maskini Ana nyumba? Maskini Ana mnyororo Wa mbwa Wa silver shingoni kauning'iniza? Dingi kakosa maarifa, na Hana njaa. Angekuwa na njaa, angepangisha nyumba yote, abakize chumba kimoja tuu cha yeye kuishi, na chini angeuza. Aache kulialia Mtoto Wa kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…