Baba anaugua.

Tasia I

JF-Expert Member
Apr 21, 2010
1,223
193
Wana Jf naombeni mniwie radhi! hi ni kwasabab nimeposthi thread sehem ambayo sio yake, nimefanya hivi kwasababu nadhani hii ndio page inayotembelewa sana.

Jamani mimi baba yangu mzazi anaugua ugonjwa wa sukari, kiukweli umemtesa faza, manake alivyokua miaka minne iliyopita ni tofauti sana na sasa.
Baba amedhoofika kiafya, aliua taf, ila sasa ni mdhaifu. Hosital amekwenda, amepata ushauri na tiba pamoja na masharti yote na anayazingatia ila bado hali sio nzuri.

Nawaombeni waungwana kama mnafaham dawa za kienyeji ambazo zaweza tibu kabisa hii kitu ikaisha, au kama kuna mtu mnaemfaham naeweza kumwona (sio ushirikina).

Natanguliza shukrani zangu.
 
ngoja nitakuandikia PM mahala pa kujaribu.
usisahau pia kumfanyia baba maombi kwani Mungu ndiye daktari zaidi ya wote.
 
Huyu Dr. charge zake kama ununua ngali hapo mafua tu kisukari sijui bei yake itakuwaje.

DOZI YA KAWAIDA YA KISUKARI KWA HUYU BWANA SI CHINI YA LAKI TANO, SASA kAMA UGONJWA UMESHAKOLEA NADHANI CHARGE ITAKARIBIA MILIONI
 
Huyu Dr. charge zake kama ununua ngali hapo mafua tu kisukari sijui bei yake itakuwaje.

Mimi nadhani labda kwa mnaofahamu tiba za huyu daktari mtuambie kama zinaponesha hicho kisukari ama la. Kwa jinsi sukari inavyotesa, kama ukitoa hiyo shilingi milioni moja na kisukari 'kinapona kabisa' mimi sioni kama ni pesa nyingi hivyo!
 
Wana Jf naombeni mniwie radhi! hi ni kwasabab nimeposthi thread sehem ambayo sio yake, nimefanya hivi kwasababu nadhani hii ndio page inayotembelewa sana.

Jamani mimi baba yangu mzazi anaugua ugonjwa wa sukari, kiukweli umemtesa faza, manake alivyokua miaka minne iliyopita ni tofauti sana na sasa.
Baba amedhoofika kiafya, aliua taf, ila sasa ni mdhaifu. Hosital amekwenda, amepata ushauri na tiba pamoja na masharti yote na anayazingatia ila bado hali sio nzuri.

Nawaombeni waungwana kama mnafaham dawa za kienyeji ambazo zaweza tibu kabisa hii kitu ikaisha, au kama kuna mtu mnaemfaham naeweza kumwona (sio ushirikina).

Natanguliza shukrani zangu.

mwone huyu muulize alimsaidia mtu wa figo sasa sijajua kama anauwezo na kisukari pia 0716622617
 
Tiba ya kisukari inategemeana na cause yake kama ni low insulin secretion ukifuta masharti inarudi normal lakini kama sababu nyingine inakuwa ngumu. Lakini ni vizuri akaendelea kufuata masharti
 
Wana Jf naombeni mniwie radhi! hi ni kwasabab nimeposthi thread sehem ambayo sio yake, nimefanya hivi kwasababu nadhani hii ndio page inayotembelewa sana.

Jamani mimi baba yangu mzazi anaugua ugonjwa wa sukari, kiukweli umemtesa faza, manake alivyokua miaka minne iliyopita ni tofauti sana na sasa.
Baba amedhoofika kiafya, aliua taf, ila sasa ni mdhaifu. Hosital amekwenda, amepata ushauri na tiba pamoja na masharti yote na anayazingatia ila bado hali sio nzuri.

Nawaombeni waungwana kama mnafaham dawa za kienyeji ambazo zaweza tibu kabisa hii kitu ikaisha, au kama kuna mtu mnaemfaham naeweza kumwona (sio ushirikina).

Natanguliza shukrani zangu.

Kaka polesana mungu atamsaidia Baba Amin mimi namjombawangu sehem za Nzega niliwahi kushuhudia jama toka mwanza kafunga safari kuja kumshukuru alimuonyesha mtu anae tibu sukari Arusha sasa lakini huyu mjombawangu ni mkoloni sana umuingie kitaratibu na kiheshima zaid na kama atakuliza na mba umeipataje mwambie mwipayo ndokanipa ila chondechonde ukiipata namba ya huyo mama wa Arusha iweke hapa ili watu wanufaike nakupanamba kweye praivet
 
Pole sana kwenu nyote mnaouguliwa. Tutazidi kuwakumbuka katika sala. Msikate tamaa na muwe na imani uponyaji upo iwe ni katika hali yetu ya kibinadamu kwa kutegemea madaktari na uponyaji wa aliyetuumba.
 
Wana Jf naombeni mniwie radhi! hi ni kwasabab nimeposthi thread sehem ambayo sio yake, nimefanya hivi kwasababu nadhani hii ndio page inayotembelewa sana.

Jamani mimi baba yangu mzazi anaugua ugonjwa wa sukari, kiukweli umemtesa faza, manake alivyokua miaka minne iliyopita ni tofauti sana na sasa.
Baba amedhoofika kiafya, aliua taf, ila sasa ni mdhaifu. Hosital amekwenda, amepata ushauri na tiba pamoja na masharti yote na anayazingatia ila bado hali sio nzuri.

Nawaombeni waungwana kama mnafaham dawa za kienyeji ambazo zaweza tibu kabisa hii kitu ikaisha, au kama kuna mtu mnaemfaham naeweza kumwona (sio ushirikina).

Natanguliza shukrani zangu.
Pole na mpe pole sana mzee, maana kwa kweli kisukari ni ugonjwa unao dhohofisha sana mwili, Insha'Allah kwa kupitia hizo namba ulizo pewa pamoja na dua zetu basi Mwenyezi Mungu atajaalia kwa mzee wetu kupata nafuu na kupona kabisa.
 
Huyu Dr. Ndodi charge zake ziko juu sana mimi mdogo wangu alimtibu Pumu kwa miezi sita dozi 6 kila mwezi laki sita sasa tulitumia m3 na laki sita sasa kwa kisukari sijui itakuwa ngapi lakini inavyoonyesha anaponyesha maana tangu mwaka jana amalize dozi hajabanwa kabisa na kifua hata hali yake imekuwa bora kabisa may be ujaribu
 
Asanteni sana wandugu, kwa kweli hat kwa response tu mlizoonesha hapa ni moyo mwema, nawashukuru sana wale mlioahidi kumwombea faza, naahidi kuweka katika jukwaa hili dawa hii, inapopatikana na gharama zake endapo nitafanikiwa.

Hii haimaanishi nimefunga thread, karibuni ka ushauri na maelekezo zaidi. Thank you JF.
 
Tasia pole sana kwa kuuguliwa na Mzee... Mungu atamsaidia nakushauri tafuta dawa inaitwa OW food Supplement which is based on Plant Extracts and Essential Oils itamsaidia.
 
Back
Top Bottom