Waswahili wanasema mti wenye matunda mengi hauishi kupigwa mawe.
Na mimi Mods manati zao wameelekeza South Centra kwa kahtaan.
Hapa mpaka JF ifungwe.
Hakimbii mtu.
Hata bara hii ipo sana tu....tendo ovu linakemewa kwa yyt akiwa mzanzibari au mtanzania bara akiwa muislamu au mkristo haya matendo si ya kufumbia macho kabisaa kwa yeyote yule
Mimi kwa mtazamo wangu ni kwamba kilimo kina tatizo kubwa la msingi, nalo ni watu waliomo kwenye sekta hiyo. Kwanza hatuna wakulima. Mkulima, kwa maana ya maendeleo ni mtu anayeangalia soko katika shughuli zake. Atalima korosho ili auze, akitaka mahindi atanunua sokoni. Ilivyo sasa hivi, hao watu wetu wanataka kulima kila kitu, kwa hivi nia siyo soko, ni kuganga njaa. Mtu anayefanya kazi kwa mnajili hiyo hawezi kutegemewa sana katika maendeleo.
Na hivyo kilimo chetu kina watu wa aina hiyo, ambao wanaishi siyo kwa soko. Anataka apate muhogo kidogo pale, choroko kidogo pale, mahindi kidogo pale n.k. kwenye kijishamba chake kidogo siku ziende. So its a way of life that is incompatible with dramatic growth. Kawa hiyo kwa watu wa aina hiyo, tatizo ni mtazamo, siyo rasilimali za mbolea n.k! Serikali hailimi, watu (wajasiriamali) wanalima.
...tutaendelea
Waliofanya kitendo hicho ni waswahili na kama asipotubu siku ya kiyama atafufuliwa kwenye kaumu lut(sodoma na gomora) hatapata nafasi ya kumuona mtume muhammad saw na kama zanzibar ingekuwa nchi ya kiislamu na ingethibitka kuwa kuna kitu km hicho kimefanyika na mashahidi wangepatikana huyo baba alistahiki kifo cha mawe
Mimi km muislam nasikitishwa na kitendo hicho km kweli kimefanyika ni kinyume na majina yake mazuri na kinyume na mwenendo wa kiislam
Sheria za dini anapigwa mwanamke, hata kama amebakwa.Huyo mwanaune anafaa kupigwa mawe....
Mbeya pia, mpaka baba mtu amemzalisha bintiye na kesi ipo mahamani!! Je Wanyakyusa wana tabia mbaya sana??
Huyo mwanaune anafaa kupigwa mawe....
Hata bara hii ipo sana tu....tendo ovu linakemewa kwa yyt akiwa mzanzibari au mtanzania bara akiwa muislamu au mkristo haya matendo si ya kufumbia macho kabisaa kwa yeyote yule