Baba amkazia uzi mwanawe sijui hampendi tena

Baba amkazia uzi mwanawe sijui hampendi tena

issaaman

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2017
Posts
1,145
Reaction score
1,381
Wadau habari
Baba leo kapigilia msumari wa mwisho kuhusu makontena ya kipenzi mwanawe
Kuwa lazima yalipiwe kodi
Na akaenda mbali zaidi kusema anaweza akageia sehemu chache na vitu vyengine akapiga kona kuuza
Sasa najiuliza kulikoni Baba na mwana
Au ndio Baba aelekea kumtosa mwanawe kiaina
Jamani sijaelewa Baba ananini na mwanawe anajua zaidi Mambo ya ndani au mchambuzi wa masuala ya Ndani atujuze
Maana sielewi
Wadau ruksa tutiririsha povu
Sabuni kidogo povu zaidi
Ahsanteni kazi kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kodi italipwa na hakuna mtu kutumbuliwa na yataisha kimya kimya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom