Baba ambae hajali familia yake

kui

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2009
Posts
6,467
Reaction score
6,500
Wewe, ambae mpaka saa hii (kama una mtoto anasoma) hujui hata kesho ataenda vipi shule au kamaliza homework zake zote for the new week na wala hujui vitabu vyake vina rangi gani, baba ambae hujali familia yako mwenyewe, lakini unakuwa wa kwanza kufika kwenye vikao vya ndugu.

Baba ambaye asilimia kubwa ya kipato chako ni 'yako mwenyewe'.

Wewe mwenye familia but badala ya ku spend muda wako mwingi na familia yako, unautumia na marafiki na mahawara halafu unadai muda wako mwingi unatafuta hela, kama si kazini kwako, kijiweni au kwenye biashara ya kuchimba chumvi tena hata si kwa mkeo.

Kwani kakwambia hapendi hiyo biashara?

Baba Jina ni wewe ambae wanao wanakusikia wakati unagomba, au umelewa, wewe ni baba kweli au ulisaidia tu kutoa mbegu?

Stop being a sperm donor!,

#Beresponsible
 
ni aina tu ya maisha baba aliyojipangia kuchukua,labda ana wake wanne na kila mmoja kampangia zamu ya wiki mbili hivyo mwenzi na nusu huwa hawi nyumbani akizunguka kwa wake wengine.
 
ni aina tu ya maisha baba aliyojipangia kuchukua,labda ana wake wanne na kila mmoja kampangia zamu ya wiki mbili hivyo mwenzi na nusu huwa hawi nyumbani akizunguka kwa wake wengine.

Hivi si kuwa baba ni - kuchangia kuwa baba, halafu mkiliwa mnakuja humu kulia
 
Reactions: BAK
baba jina huyo kwenye kugegedana anazima taa ila huduma za watoto hadi serikali za mitaa looo,?????
 
Duniani kuna baba tena wa ajabu, pesa ya matunzo ya watoto waliotoka kwenye kiuno chake mwenyewe eti mpaka akaitolee mahakamani!!!!

...eti jamani, wakati wa kukata mauno sherehe, wakati wa kutunza Mtoto vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…