Baba aliyetoa mpaka cent ya mwisho kwa elimu ya mwanae

Baba aliyetoa mpaka cent ya mwisho kwa elimu ya mwanae

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
Bf-HZG5CMAAcB4i.jpg:large
This poor farmer supported his son through college. On graduation day, the son said his father was his biggest pride.
 
Aisee safi sana mzee,shida kwa kijana wake atamkumbuka/kulipa fadhila kwa dingi kweli
 
Unconditional fatherly love at its best! Mungu ambariki.
 
Huku kwetu mzee pesa ya kusomesha anajifanya hana lakini ya kuchangia harusi anayo.
 
Kuna watu wana bahati sana,,, hy baba katoa kwa uwezo wake kufanikisha elimu ya mtt wake.......... nafikiri upendo wa mzazi ni mkubwa sana!!!!! may b in the after life i will experience it.
 
Jaman mbna haya ni marudio tena ya wik iliyopta tu

Lts try to thnk bt da new tns nd nat rptng
 
ttz mitoto ya ck hzi haisomi kabisaa! kuuutwa cm tuuuuu! cjui watsup! facbook! yan mitandao ya kijamii yot wanaijuwa! aaah!
 
Siasa kila sehemu..

Siasa sio kidgo ndugu yangu.. Uyo.mzee alishindwa ata kuoga tu akapendeza kama kijana wake mpka tuoneshwe kachoooka mchafu sura imekosa matumaini ndo tujue ka ye mkulima..!! Too much attention than the reality.
 
Back
Top Bottom