JERUSALEM 2006
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 527
- 596
Baba yangu alimpenda sana mama, na alitoa ahadi ya kumuoa endapo angerudi kutoka masomoni kutoka ughaibuni.
Nilikua kichanga kidogo sana nyakati hizo ila nilihisi upendo wa baba, na hii ilijidhihirisha pia kwa ndugu zangu.
ndugu zake baba hawakumpenda mama, na hivyo kumchagulia baba mke mwingine wakati yeye bado yu masomoni, mama aliumia sana na alisononeka kweli.
Enzi hizo mzee hakuweza kuwabishia nduguze as Mama(bibi) yake alisimamamia hilo.
Miaka michache baadae baba aliaga dunia huku akiwa na ndoa ya mwanamke asiye chaguo lake.
Namshukuru sana baba yangu kwa kumpenda mama, ila namlaumu sana kwa kushindwa kujisimamia kwenye maamuzi.
RIP BABA.