Baba alipogeuka kuwa daktari wa kijiji

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,720
215,794
Huyu mzee ni msaada wa taasisi ya umma. Kama mnavofahamu umri wa 65+ unakula na mengi. Ilikuja kugundulika mzee ana mamtatizo ya mapigo ya moyo na kisukari.

Kwa ushauri wa daktari matatizo haya unaweza kupambana nayo kama unafuata utaratibu wa tiba. Watoto wake walimnunulia mashine ya kucheck kiwango cha sukari kwenye damu na mashine ya kucheck mapigo ya moyo.

Tatizo sasa kila watoto wakipiga simu home dingi ameenda kucheck PB au sugar level nyumba flani. Watot walichoka baba alipogeuka daktari wa kijiji!
 
Back
Top Bottom