Baba alinikosesha kazi ya ndoto zangu

Baba alinikosesha kazi ya ndoto zangu

Joined
May 14, 2019
Posts
42
Reaction score
87
Siwezi kumlaumu sana, naheshimu mawazo yake mzee wangu.

Lakini nikiwa kama kijana na ndoto zangu nimejikuta leo nikikumbuka jinsi ambavyo ningekuwa naishi katika ndoto zangu na hata kumsaidia yeye mwenyewe.

Ilikuwa hivi;-

Baada ya kupata nafasi ile kutoka kwa mkubwa wa kitengo kile wa wakati ule, kila kitu kilikamilika na hatimaye walinipa muda wa kusubiri kunijua vizuri na familia yangu. Nafikiri walikamilisha hilo kwa muda wao wenyewe, mwisho wa siku ilikuwa ni kwenda kumfahamisha mzazi mmoja ambaye ni baba yangu mzazi

Baba bwana kwa vile ni mtu wa dini, akasema HAPANA kazi hii ni HARAMU na haifai mwanangu utakwenda kuungua kesho kwa Mungu.

Aloo daaah niliumia sana sana sana,,, Baba yangu nakupenda sana huenda umeniepusha na jambo.

Najua uzi huu hautauona lakini Naomba unisamehe sana mzee wangu (kiongozi wa dini) pale kijijini kwetu.
 
Nimekuelewa mwanangu unisamehe sana mwanangu lakini maisha ni lazima yaendelee.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Siwezi kumlaumu sana, naheshimu mawazo yake mzee wangu.

Lakini nikiwa kama kijana na ndoto zangu nimejikuta leo nikikumbuka jinsi ambavyo ningekuwa naishi katika ndoto zangu na hata kumsaidia yeye mwenyewe.

Ilikuwa hivi;-

Baada ya kupata nafasi ile kutoka kwa mkubwa wa kitengo kile wa wakati ule, kila kitu kilikamilika na hatimaye walinipa muda wa kusubiri kunijua vizuri na familia yangu. Nafikiri walikamilisha hilo kwa muda wao wenyewe, mwisho wa siku ilikuwa ni kwenda kumfahamisha mzazi mmoja ambaye ni baba yangu mzazi

Baba bwana kwa vile ni mtu wa dini, akasema HAPANA kazi hii ni HARAMU na haifai mwanangu utakwenda kuungua kesho kwa Mungu.

Aloo daaah niliumia sana sana sana,,, Baba yangu nakupenda sana huenda umeniepusha na jambo.

Najua uzi huu hautauona lakini Naomba unisamehe sana mzee wangu (kiongozi wa dini) pale kijijini kwetu.
HII NAHISI NI BIASHARA HARAMU...MBONA HUITAJI
 
Kwasababu umesema kazi ya ndoto yako, subiri uamke utaelewa kwanini mzee alikukataza
 
Japo hujataja iyo kazi lakini inaonekana ni kazi haina heshima, yani ili wakuajiri lazima wamjue mzazi wako

Hiz ndio zile kazi designe ugongewe muhuri wa mwenyekiti sijui wa mtaa sijui kijiji, Upumbavu mtupu mata njoo na barua ya utambulisho

Au mnasemaje mods wa JF
 
TISS

Alexander
 
Back
Top Bottom