Mkikutana wote mnafaana hilo linawezekana. Hilo ni agizo la Mungu moja kwa moja
Waefeso 5:33
"Hata hivyo, kila mmoja wenu ampende mkewe kama anavyoipenda nafsi yake mwenyewe, naye mke lazima amheshimu mumewe."
Kihalisi mume akimpenda mkewe, mke atachochewa kumheshimu mume wake. Mume asitegemee kuheshimiwa ikiwa hampendi mke wake
Na mke akimheshimu mumewe, mume atachochewa kumpenda mke. Mke asitegemee kupendwa ikiwa hamheshimu mume wake