REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,459
- 9,389
Kutoka katika vyanzo tofauti vya magroup ya Whatsapp Ya watumishi wa umma yameibuka malalamiko kuwa kuna baadhi ya watumishi wa umma hawajawekewa mshara wa mwezi huu wa saba uliotoka leo mchana
Sababu haijulikani maana tangu zoezi la uhakiki wote umepita wapo salama kabisa na mshahara walikuwa wanapata
Swali je hapo ulipo vip?
Sababu haijulikani maana tangu zoezi la uhakiki wote umepita wapo salama kabisa na mshahara walikuwa wanapata
Swali je hapo ulipo vip?