Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,034
- 144,388
Naona hili la Ebola linakutesa sana!Katika utafiti wangu usio rasimi,nimegundua kuwa baadhi ya watu wa mkoa wa Tanga unaweza ukawagundua kwa rangi ya ngozi yao ambao wengi ni weupe ile wana feature moja ya zaidi na ambayo ni ya kipekee na hii si nyingine bali ni ile inayohusiana na maumbile ya midomo yao.
Ukiona mtu ni mweupe alafu ana maumbile ya mdomo yasiyo ya kawaida(mfano lips kuwa kubwa au kujitokeza zaidi kwa mbele,n.k) basi kuna uwezekano mkubwa kuwa mtu huyo ana asili ya mkoa wa Tanga.
Mfano mzuri ni waziri mmoja ambae ni mwenyeji wa mkoa huo na maumbile yake ya mdomo yana muonekano wa tofauti kidogo na maumbile ya kawaida ingawa si kilema au kasoro kubwa ya kumfanya mtu aonekane ana kasoro katika mwili wake.
Fanya utafiti na wewe utagundua hili ninalosema.
Hatuko kwenye habari ya Ebola hapa!!Naona hili la Ebola linakutesa sana!
Hahahaa....... Pole sana bwashee hata watu wa Moshi mnatambulika kwa meno yenu!Hatuko kwenye habari ya Ebola hapa!!
Naona hili la Ebola linakutesa sana!
Wameoewa lips ziliotokeza mbele zaid ili ziwasaidie kunyonyana vizuri, si unajua mapenzi yameanzia Tanga...Katika utafiti wangu usio rasimi,nimegundua kuwa baadhi ya watu wa mkoa wa Tanga unaweza ukawagundua kwa rangi ya ngozi yao ambao wengi ni weupe ile wana feature moja ya zaidi na ambayo ni ya kipekee na hii si nyingine bali ni ile inayohusiana na maumbile ya midomo yao.
Ukiona mtu ni mweupe alafu ana maumbile ya mdomo yasiyo ya kawaida(mfano lips kuwa kubwa au kujitokeza zaidi kwa mbele,n.k) basi kuna uwezekano mkubwa kuwa mtu huyo ana asili ya mkoa wa Tanga.
Mfano mzuri ni waziri mmoja ambae ni mwenyeji wa mkoa huo na maumbile yake ya mdomo yana muonekano wa tofauti kidogo na maumbile ya kawaida ingawa si kilema au kasoro kubwa ya kumfanya mtu aonekane ana kasoro katika mwili wake.
Fanya utafiti na wewe utagundua hili ninalosema.
Wewe ndio unabahatisha.Wewe ni mtu wa kubahatisha bahatisha
Amechukizwa na kitendo cha Ummy kukanusha uwepo wa Ebola.Utafiti wako ni kwa Ummy tu
Pamoja na yote uliosema,je,kuna ukweli?Tanga kubwa sheikh! Ungesema wakazi wa Tanga Mjini, labda kidogo ningekuelewa. Wasambaa wa Lushoto na Korogwe hatuna hata chembe ya hizo sifa ulizozitaja.
Na siyo vizuri kutuchanganya na Wadigo, Wabondei, nk. Labda Wazigua! napo kwa mbaaali!
Pamoja na yote uliosema,je,kuna ukweli?
Usilete siasa mkuu.Utafiti wako ni kwa Ummy tu
Salary Slip mbona safari hii umekuja kivingine? haiajawahi kuandika Mada km hizi za kitafitiPamoja na yote uliosema,je,kuna ukweli?