Baadhi ya washindi wa tuzo za GRAMMY AWARDS kwa zile category muhimu

Walichofanya Si Sawa Wamemnyima Shemeji Ata Moja Kati ya Hizo Nane Si Vyema.
kaishiwa now deiz hana mpya ..album yake aliyoitoa imeshindwa kufnya vyema kama zilivyoweza kufnya album zake za awali ..hakuna hata hit song moja ya maana ...anapaswa kumuomba msamaha kanye sasa..hahaaa maana ndiye aliyekuwa anachangia kumbeba pamoja na rihana
 
Jay z kawekwa tu kwa heshima ya u legend but kwenye kuchukua tuzo mm sikufikiria kabisa kama ataokota hata moja esp kwenye album yake ilikuwa too personal sana wala haina social impact yoyote maybe nyimbo ya the story of Oj hata yeye alijua hivyo hawez chomoka kwa King Kunta napenda sana nisikie his opinion about this
..
kaishiwa mkuu sema kuna ambao watapinga mnoo hili ..jay pia alikuwa anabebwa na uwepo wa kanye na riri kwenye nyimbo zake ...yaani we hushangai jiga katoa ngoma hata mtaani hazisikiki..kama waimbaji wa music wa country bhana...nyimbo zao huwa zaishia kuvuma huko huko kwao
 
Back
Top Bottom